Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Hapo inategemea na ukubwa wa bima ni kama vyombo vya moto kuna third part na comprehensive, bima ita cover eneo liloainishwa awali wakati unapopatiwa bima yako, kuna bima zina rank za fasttrack yani hiyo usubiri foleni kama yangu nikiingia hospital hata foleni sikakishwi boss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bima ndiyo hizo hizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Exactly!