Bima nyingi huwa zina package kulingana na pesa ya mteja.Hio bima ya 30,000 ubaya ni kwamba haitafanya lolote zaidi ya kutibu malaria
In short atapata huduma zote za Afya kwenye vituo vya serikali Tanzania bara isipokuwa👇👇👇👇Mkuu hii bima hata wazee wanakubaliwa?
Na je wanapata vipimo vyote na madawa?au iko selective?
Hio bima ya 30,000 ubaya ni kwamba haitafanya lolote zaidi ya kutibu malaria
Shukrani sana chief.iCHF ni bima za kijamii. Wanapata watu wasio kwenye mfumo rasmi. Hii mara nyingu utapata matibabu ndani ya mkoa uliokatiwa tu.
Na NHIF ni kwaajili ya watu walio kwenye mfumo rasmi.
Huduma za ghali ndio zilitakiwa zibebwe na bima sio hizo huduma za elfu 20/20L
Huduma na Faida za CHF Iliyoboreshwa
Mwanachama wa CHF atapata huduma zote za matibabu kwa kufuata utaratibu wa rufaa kwa ngazi zote za vituo vya kutolea huduma vya serikali.
Huduma ngazi ya Zahanati
Huduma ngazi ya Kituo cha Afya
- * Ushauri wa daktari
- * Vipimo vya maabara
- * Vipimo vya picha ( X-ray na ultra sound)
- * Dawa
- * Uangalizi (Mapumziko)
Huduma ngazi ya Hospitali ya Wilaya
- * Ushauri wa daktari
- * Vipimo vya maabara
- * Vipimo vya picha ( X-ray na ultra sound)
- * Dawa
- * Kulazwa
- * Upasuaji ( wa Kawaida na Mdogo)
Huduma ngazi ya Hospitali ya Mkoa
- * Ushauri wa daktari
- * Vipimo vya maabara
- * Vipimo vya picha ( X-ray na ultra sound)
- * Dawa
- * Kulazwa
- * Upasuaji ( wa Kawaida, Mdogo na Mkubwa)
Huduma zisizogharamiwa na CHF
- * Ushauri wa daktari
- * Vipimo vya maabara
- * Vipimo vya picha ( X-ray na ultra sound)
- * Dawa
- * Kulazwa
- * Upasuaji ( wa Kawaida, Mdogo na Mkubwa)
- * Huduma za rufaa zilizopo ngazi ya mkoa
- * Huduma za kufunga viungo bandia, vya mwili, miwani, visaidizi vya sikio,visaidizi vya moyo
- * Vipimo vya MRI,CT scan, DNA typing
- * Operesheni kubwa kama za moyo, ubongo,figo n.k
- * Huduma za kuhudumia mwili wa marehemu
- * Huduma za kurekebisha mwili (cosmetic surgery)
- * Majeraha yanayotokana na nia ya mtu kujidhuru kama matumizi ya vilevi, utoaji mimba au kujaribu kujiua.
- * Matibabu kwa wajeruhi walioshiriki maasi kama vurugu,maandamano n.k
- * Kulaza kwenye ward za binafsi (private wards)
Hospitali gani hiyo mzee, mimi nahisi ni hospitali /zahanati ulioendaKila tunaambiwa mtandao uko chini tuwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi.
Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari.
Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu.
Ni lazima udanganywe ili mambo mengine yaendeSijui lini tutapata bima ya afya bure kama walivyotuamisha kwenye uchaguzi, maana sasa hivi hiyo kadi kwa mwaka ni balaa. Bora wewe unayo kadi vumilia hapo notiweki itarudi tu.
Hii ndiyo big challenge tunayo, dawa nyingi unakuta haziingii kwenye malipo ya bima, ila pia nashangaa kuna zahanati /hospitali wanatoa dawa zote bila kuchuja za cash na za bima huwa kigezo kinakua ni nini kwaChangamoto sana huu mfumo, baadhi ya madawa unaambiwa ukanunue kwasababu bima ya afya haihusiki daaaah!
Labda elfu 20 kwako ni kiasi kidogo! Kumbuka, kuna familia hapa TZ hicho kiasi ni shida mno kukipata.Huduma za ghali ndio zilitakiwa zibebwe na bima sio hizo huduma za elfu 20/20
ICHF imejikita zaidi ki kanda sijui wanatumia vigezo gani kuna baadhi ya maeneo haitumiki ni 30000 tuTofauti ya hizo bima za ICHF na NHIF Ni Nini Chief?
Kwani gharama ya kuilipia bika kwani shiling ngapi si 30000 tu sasa inakua ngumuHuduma za ghali ndio zilitakiwa zibebwe na bima sio hizo huduma za elfu 20/20
Usipotoshe hata hiyo bima haikatiwi bure ni pesa mzee, inasaidia kwa kiasi chakeTafteni pesa bima hazinamana tz ombea usiuguliwe
Hospital kubwa tu tena ya rufaaHospitali gani hiyo mzee, mimi nahisi ni hospitali /zahanati ulioenda
Asante Sana mkuu.ICHF imejikita zaidi ki kanda sijui wanatumia vigezo gani kuna baadhi ya maeneo haitumiki ni 30000 tu
Kumwona daktari for consultation nakubali jiulize nyonga kutibu milioni 14 Hadi 6 au zaidi lakini bima inakava milioni 8 tu ,ombea uendeleage kuugua mafua typhod nk Ila sio Mambo muhimu katika mwiliUsipotoshe hata hiyo bima haikatiwi bure ni pesa mzee, inasaidia kwa kiasi chake
Iringa au mbeya funguka wapo humu ma IT wao sijui wanapatikanajeHospital kubwa tu tena ya rufaa
Kumwona daktari for consultation nakubali jiulize nyonga kutibu milioni 14 Hadi 6 au zaidi lakini bima inakava milioni 8 tu ,ombea uendeleage kuugua mafua typhod nk Ila sio Mambo muhimu katika mwili