A
We ni mkuu wa shule?Utakufa mdomo wazi huku ukiwapigisha wenzio shoti.
Na huo ndo uzalendo.
Alichoandika hapo mleta uzi ni kweli mkuu,...Huo mfumo unajazwa na mkuu wa shule unathibitishwa na WEO NA DEO na taarifa ukikosea zikashindwa kuoana unaleta query sio rahisi utengeneze
SawaAlichoandika hapo mleta uzi ni kweli mkuu,...
Japo ni kama anawachongea wakuu wa shule, ila ukweli upo....
Takwimu Halisia za wanafunzi ni zile zinazoenda NECTA pekee...
Halafu kwa sasa, DEO na wakuu wa shule lao moja...labda hujui tu
Swali lako linahusiana vipi na uzalendo wa mtoa mada?We ni mkuu wa shule?
Au ni chawa wa mkuu wa shule