Mfumuko wa Bei Marekani na Ulaya: Nako Rais Samia alaumiwe Magufuli akumbukwe?

Mfumuko wa Bei Marekani na Ulaya: Nako Rais Samia alaumiwe Magufuli akumbukwe?

Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza...
Mkuu, unajipa tabu sana mbona. Na usiwe unalinganisha Marekani, Ulaya naTanzania, United Republic

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu...
Huu uongo ulaya hakuna mfumko wa bei.

 
Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza mnabebesha mizigo asiyostahili...
Achana na wapumbavu na wajinga mkuu, uchumi wa Dunia uko Kwenye Hali Tete kila sehemu na hali hii ilisababishwa na Chumi nyingi kuanza kukua mara baada ya Mipaka kufunguliwa.

Kwa Hiyo ile response ilichochea demand kubwa ya ghafla na kupelekea bei za kila kitu kupanda sababu uzalishaji ulishuka kipindi cha corona .

Tanzania mfumuko wa bei unacheza Kati ya 4.1-4.5% viwango nafuu Sana kulinganisha na majirani hasa Kenya ambao wako kwenye 6% ..
 
Naomba kuuliza hivi ulaya na marekani na wenyewe wana ccm iliyoshindwa kutatua changamoto za madawati zaidi ya miaka 50?
Hii nchi ina mijitu mijinga huwa haitaki kuelewa na kuuliza sababu ila kulaumu ndio maana Rais anawapuuza na kuwaacha na ujinga wao.
 
Wewe nikikuita mjinga naona kama bado haitoshi, chagua mwenyewe nikuite nani? Angekuwepo JPM Baba, UOZO ulioikumba Tanzania kwa sasa hata usingekuwepo....
Wewe akili zako ni za kukuwezesha kusukuma kimba chooni tuu.Kwamba huyo mumeo angeenda kuwalipia wakulima pesa za mbolea au?

Mbona.sukari na simenti vilimshinda? Humu ndani kuna nyuzi kibao za kulaumu bei za Vifaa vya ujenzi kupanda kipindi cha Mwendazake lakini hakuna kitu alifanya.
 
ni kweli kuwa mfumuko wa bei kwa sasa umeikumba dunia nzima, ila pia ni jukumu la serikali kupambana nao badala ya kutoa visingizio maana ht huko europe na US wanachukua hatua
 
Back
Top Bottom