Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Kiukweli nchi hii hatuna watu, ndugu zetu wa ufipa chama kina miaka 30 na wamekula ruzuku miaka yote na bado hawana ofisi. Na bado wanataka tuwaaminiEti miaka 60 ya uhuru bado unawapigia watu magoti wakuchimbie matundu ya vyoo mashuleni!!!!