Mfumuko wa Bei Marekani na Ulaya: Nako Rais Samia alaumiwe Magufuli akumbukwe?

Imefika wakati watu waache kuweka matumaini kwa haya matakataka ya ccm yanayoitwa Viongozi
 
Wapi wana changamoto ya madawati na matundu ya choo


Tatizo nikujidharau kuliko pitiliza soma mambo hayo.
 
Kwetu dumila moro 115000
 
Nimecheka sana. Hapo ndio iyo sekondari ya michigan haina vyoo, watoto wanasoma juu ya mawe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ccm ni janja janja

Huwezi watetea ccm kwa ili
US hiyo Mzee wana uhaba wa vyoo 🤣 🤣 🤣
 
Ulaya na Merekani wanatembeza mapanga wakati wa kurudisha form za kugombea na kulala mbele na mabegi ya kura?
 
Uganda wamewezaje na mfumuko wa bei wa 2%? Heb tuanzie hapo, kuliko kwenda mbali kote huko.
 
Hutegemei akili yako ndo maana unayasema hayo ukilinganisha na wamalekani.
Jifunze kujitegemea kwa kutumia akili uliyopewa na mungu.
 
Unakula kwa mama na baba utaijua vipi inflation ambayo haikugusi
 
Taifa la mzuzu hili, wao wamebakia kulaumu tu kila kitu,

Huyo magufuli wao sijui ana jema gani lakufanya hakumbukwe, labda la barabara kidogooo,

Yaani Nchi Ina mijitu mijinga Sana, Mama wa watu anajitaidi kutaka kuongoza Nchi kwa haki,wao hawataki, washazoea kuongozwa kidikteta mbwa hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…