Mfumuko wa Bei Marekani na Ulaya: Nako Rais Samia alaumiwe Magufuli akumbukwe?

Eti miaka 60 ya uhuru bado unawapigia watu magoti wakuchimbie matundu ya vyoo mashuleni!!!!
Kiukweli nchi hii hatuna watu, ndugu zetu wa ufipa chama kina miaka 30 na wamekula ruzuku miaka yote na bado hawana ofisi. Na bado wanataka tuwaamini
 
Kiukweli nchi hii hatuna watu, ndugu zetu wa ufipa chama kina miaka 30 na wamekula ruzuku miaka yote na bado hawana ofisi. Na bado wanataka tuwaamini
Ccm miaka 60 ya uhuru lkn leo hii kuna watoto bado wanakosa madawati.

Alafu utasikia jitu linasimama na kuisifia ccm!
 
Ccm miaka 60 ya uhuru lkn leo hii kuna watoto bado wanakosa madawati.

Alafu utasikia jitu linasimama na kuisifia ccm!
Tumsifie au kumuamini nani sasa? Kama waliopo nje ya system nao wanashindwa kujenga ofsi wanakaa vichochoroni?
 
Hapana watu hawampeni kwa kuongozwa na kikwete na kuwakumbatia wezi na viongozi mizigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…