Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
Mimi nitakuamini siku nikiona unapaa mbinguni live mchana kweupe.Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Sent using Jamii Forums mobile app