Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Non sence kabisa
 
Kuna maboya wataamini maneno yako, na soon utafungua kanisa uanze kujipatia maokoto yako

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂 Hizi imani za kupandikizwa na hawa Manabii feki ni hatari sana **** dogo naye aliuvamia Ulokole akaambiwa na Nabii wake afunge siku 7 24 hours bila kula wala kunywa chochote dogo alifunga siku 3 tu siku iliyofuata alianguka na kupoteza network kazini kwake alikuwa ni Mlinzi kupelekwa dispensary akapigwa drip za kutosha mpaka akazinduka akawaeleza alikuwa haraka karibia masaa 86.
 
Nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa mwana maombi kanisan hivyo mchungaji akatangaza siku tatu za maombi bila kula chochote.

tulipanda juu ya mlima mmoja uko huko mkoani arusha huo mlima ulitengwa kwa ajili ya maombi tu makanisa mbalimbali huenda huko kufunga na kuomba , weee nilitoboa siku tatu bila kula chochote ila sasa miguu yote iliisha nguvu siku tunarudi kutoka mlimani kulikuwa na miti ya maembe mle msituni wacha tuyafakamie kwa njaa 😂😂😂
 
Sasa wewe ulikuwa unafunga kwa ajili ya mungu au Mungu ?

Maana naona mungu amekusaidia 😑
 
E3dxnTCWQAA6EMf.jpg
 
Nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa mwana maombi kanisan hivyo mchungaji akatangaza siku tatu za maombi bila kula chochote.

tulipanda juu ya mlima mmoja uko huko mkoani arusha huo mlima ulitengwa kwa ajili ya maombi tu makanisa mbalimbali huenda huko kufunga na kuomba , weee nilitoboa siku tatu bila kula chochote ila sasa miguu yote iliisha nguvu siku tunarudi kutoka mlimani kulikuwa na miti ya maembe mle msituni wacha tuyafakamie kwa njaa 😂😂😂
Yes,
Siku 3 kavu naona wengi wetu ndiyo tunaiweza..!!
Mac Alpho wewe unaweza masaa mangapi baba angu..??
 
Back
Top Bottom