Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Hongera. Nielewavyo mimi, mfungo huwa ni siri ya mfungaji na Mungu wake, si matangazo.

Baada ya kumaliza kufunga ilitakiwa umshukuru Mungu kimoyomoyo kwa kukuwezesha kumaliza mfungo na si kulileta huku JF hapo lingekuwa la baraka zaidi.

Ni mtazamo wangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…