Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Non sence kabisaHabari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Hongera Mkuu ila sijui kama hujatupigaMasaa 24 kwa siku ndugu yangu kama alivyoagiza roho ni kifungo cha kupokea huduma na mamlaka Amina
πππ€ Hebu tuwekee kale kakikombe,..Chai
Kuna maboya wataamini maneno yako, na soon utafungua kanisa uanze kujipatia maokoto yakoHabari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Ni kweli mkuu ALIFUNGA MLANGO KWA SIKU 40,..tena kwa kufuri Jeusi.Acha kudanganya watu ndugu yangu
Like for real. Are you buying this shit?
Walete na wale Mama Lishe π€£π€£π€£
Siku 40 bila kula chochoteWalete na wale Mama Lishe π€£π€£π€£
Yes,Nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa mwana maombi kanisan hivyo mchungaji akatangaza siku tatu za maombi bila kula chochote.
tulipanda juu ya mlima mmoja uko huko mkoani arusha huo mlima ulitengwa kwa ajili ya maombi tu makanisa mbalimbali huenda huko kufunga na kuomba , weee nilitoboa siku tatu bila kula chochote ila sasa miguu yote iliisha nguvu siku tunarudi kutoka mlimani kulikuwa na miti ya maembe mle msituni wacha tuyafakamie kwa njaa πππ