Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

Unatupanga tu wew UL acha kula mchana na chai unakula jion mwili uka adapt sio ujala chochote kwa siku 40
 
Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Alafu mnatuchukuliaje humu Jf kutudanganya wale waliofunga na hawakutoboa uliona kilichotokea lkn frsh hongera ktk hilo
 
Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Hongera sana

Umekua hai? Ni kweli au ulikuwa unakula jioni?

Mbona yule mchungaji siku ya 21 tu akazima.
 
Hajafunga ili asifiwe. Ametuambia ili tujifunze kwamba inawezekana kufunga 40 kavu.

Kufunga halafu ukatangaza kwa minajili ya sifa hiyo ndio inakataliwa.
 
Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Umepata nini?
 
Mlima wa Duluti au wa Kikatiti?
 
Nani alikupa maelekezo ya kufunga siku 40?
Unamzigo gani wewe wakukufanya ufunge siku 40?
 
Imani ndugu inaenda na viwango narudia sio kwa uweza wangu hata kidogo ila ni mungu tyu ilifika kipindi nikawa nimesahau ladha na nilijawaliwa uwezo wa kutokuvitamani ndani ya siku hizo 40
Yaan huli usiku wala mchana Kwa siku 40??.
Acha fix aisee
 
Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo

Mnakosea sana, kufunga jambo jema, tunataka sasa sikia ushuhuda, matokeo ya mfungo wako.
 
Wengi wanaishia 3, anayejitahidi sana ameishia 5 na... Hao wakina Ricardo Maria wa Morogoro wenyewe wamejitahidi sana mwisho siku 6-7 na wengi wao wamekufa na swaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…