Mfungwa aliyepatiwa msamaha wa Rais agoma kutoka jela

Chukulia mfano baba yako kafungwa jela kwa kesi ya kubambikiwa

Baba yako angekuwepo kwenye hiyo list ya wafungwa waluoachiwa ungeuliza swali la namna hiyo?
 
Embu nisaidie bwana mshana,wamesema alipigwa miaka 30,Alianza kutumikia mwaka 2000 na kifungo kilikuwa kiishe 2020 au mwakani,kwa kufungwa miaka 30 manake Alitakiwa atoke 2030 sio 2020
 
Nimejisikia vibaya sana. Sana.

Kuna wafungwa wamefungwa mwaka 2000 enzi izo sukari kilo 1 mia 7, sabuni kipande hamsini, nauli daladala mia 2 etc. Leo uyu akitoka akaja mtaani hana jipya, ndugu zake wengi wanefariki, wamehama, wamemsahau kwa kifupi yupo alone.

Nashauri magereza na mamlaka usika wawe wanawasaidia wafungwa ambao wamebakiza mwaka mmoja au miezi sita kwa kuwapa training za ujasiriamali. Pia kuwa update thamani ya hela. Maana mtu alienda jela enzi izo ukiwa na elfu 10 ni pesa nyingi sana wakati sahivi ukiwa na elfu 10 ni sukari, mchele, maharage, mkaa na mafuta, imeisha.

Uko magereza wawe wameenda kama kunadirishwa sio kukomolewa.
 
Embu nisaidie bwana mshana,wamesema alipigwa miaka 30,Alianza kutumikia mwaka 2000 na kifungo kilikuwa kiishe 2020 au mwakani,kwa kufungwa miaka 30 manake Alitakiwa atoke 2030 sio 2020

Nasikia magereza wanahesabu muda tofauti kama huku uraiani.
 
 


Good points, wasipopata ajira, uwezo wa kupata pesa kwa njia halali wanaweza kuishia kufanya uhalifu tena. Tunalipia kwa kodi zetu watu kukaa miaka 30.

Sheria zetu (criminal justice system), vifungo vyetu, mazingira muhimu tuziangalie upya.

Of course it is punishment, but also rehabilitation. We need to balance, consider both aspects.

Because at end of the day watatoka na kuja mtaani.
 
Embu nisaidie bwana mshana,wamesema alipigwa miaka 30,Alianza kutumikia mwaka 2000 na kifungo kilikuwa kiishe 2020 au mwakani,kwa kufungwa miaka 30 manake Alitakiwa atoke 2030 sio 2020


Kuna kitu inaitwa ''REMMISSION''..yaani mwaka unatumikia miezi 8

twende kazi===8*30==240months

240mnths/12==20.yrs

kwa hyo alitakiwa atumikie miaka 20 tu....

kama hajafanya kosa jingine akiwa gerezani lkn
 
duh aisee,apimwe akili bwana hata kama mtaani pagumu ila jela sio bwana
Miaka 29 aliyokaa huko si pameshakua Kama nyumbani mkuu kwake hakna Cha ajab asichojua,doso alishalizoea mtaani anakuja kuanza moja na hajui aanzie wapi,jenerally amekaa gerezani miaka sawa na umri wangu.

Hata unapoenda kujiunga jeshi au jkt kwa mara ya Kwanza unaona Kama hautatoboa vile lakini kadri siku zinavyoenda wajeda unawaona Kama washikaji zako tu.
 
Kuna kitu inaitwa ''REMMISSION''..yaani mwaka unatumikia miezi 8

twende kazi===8*30==240months

240mnths/12==20.yrs

kwa hyo alitakiwa atumikie miaka 20 tu....

kama hajafanya kosa jingine akiwa gerezani lkn
Ahaa kumbeee
 
Nani ana uhakika huyo jamaa hana jambo jingineee...mfano ni mjeda kaambiwa afanye hivyooo
ama ni "mmmmmhhh" wapo ndani kusikiliza story za wanaokujaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…