Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

ni kweli lakini sio kama hizi Mkuu,maana hizi hazina impact kwa jamii maana mighahawa ipo mingi kwa hiyo ukiona mahala huduma mbovu tafuta mghahawa mwingine achana na huo wa huduma mbovu!
Kwa hiyo watu watafahamu vipi kuwa pale Kuna huduma mbovu
 
Nasema umekurupuka kwa sababu hata mazingira ya pale huyafahamu...kawaida ya ule mgahawa huwa unawahudumu wengine wanaouza vitafunwa kwa nje kwa hiyo ukinunua vitafunwa vile ni sawa na mtu alienunua ndani ya mgahawa....
 
Tarizo jamaa unaita kwa dharau unamuitaje mtu kwa ishara ya kidole kimoja wakati wenzio wanatumia vidole vyote,mimi nilikuona toka unaingia mle,ulinunua chapati kwa yule dogo mwenye tshirt nyeusi kisha ukaja mle ndani,mimi ni jamaa fulani mweusi mfupi nilikuwa karibu yako nikukushangaa unavyoita kwa kufedhehesha
 
Halafu huwa mgahawa ni wa mwigulu wa nchemba
 
Ni mara mia hapo chotara, kuna moja inaitwa chioma huko kanyenye, wahudumu huwaoni unaeza ukaita mpaka ukianza kuondoka unasikia we maku unasemaje? Sishauri mtu aende pale kabisa. Kiufupi tabora bado sana asilimia kubwa ya wahudumu wako kimkakati zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…