Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

Labda hukuwaangalia kwa jicho la huba, jilo lenye ishara ya kutaka kuwatongoza

Au pengine wanakushangaa vipi unataka chakula kipindi cha Mwezi Mtukufu?
 
Labda hukuwaangalia kwa jicho la huba, jilo lenye ishara ya kutaka kuwatongoza

Au pengine wanakushangaa vipi unataka chakula kipindi cha Mwezi Mtukufu?
Ilikuwa ni usiku, mida ya saa mbili
 
Unakulaje sehemu chafu kama hiyo?
Mhh sasa amekwambia vitafunio kanunuwa nje kwenye Sinia mengine jiongeze watu wa bara usafi kwao ni mtihani,mtu nyumba ya kulala anafuga wanyama humo humo Ngombe ngulue.
 
Ukute Nchi nzimaa ambae sijachanganyikiwa ni Mimi tu,imagine mtu unahela Yako sii uende mgahawa mwingine,halafu unatuambia mgahawa Maarufu Asa unakuaje Maarufu Huduma mbovu.
 
Pale Tabora mjini hoteli ya maana ni moja tu, Hoteli ya Mayor . Siku nyingine ukipita Tabora nenda ukale mayor karibia na maktaba ya Taifa Tabora.
 
Wanawake wengi wanapenda kazi zile ambazo bossi ameshahangaika na kutoboa.

Yaani kazi nyepesi kama kuuza duka lenye kiyoyozi, kupokea pesa kama cashier.

Ni wachache sana wanaojielewa mpaka wawe single mqzas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…