Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
Ni kweli Mkuu,mimi na shahidi nilimpeleka NDUGU YANGU USIKU WA KUAMKIA JANA,alikywa na ratizo la akinamama! Wafantakazi wanafanya kazi kwa weledi sana na kujali.LAKINI HOSPITALI HAINA DAWA WALA VITENDANISHI,TULINUNUA HADI GLOVES NA PANADOL...Vitanda havina mashuka ! Hivi ktk mazingira haya inabidi uwe na moyo kufanya kazi! -afu mtu mwingine anatukana jukwaani!Madactari wa Amana wana roho ngumu wanafanya kazi sana lakin hata hela ya call hawalipwi kwa nn wasiache kazi?
Tabby,
Huyo daktari sidhani kama kaamua kuachia ngazi kwa sbb ya kutetea uzembe
Mimi naamini kabisa sababu ya kufanya kazi kwa mashinikizo na pasipo hata kujengewa mazingira bora ya kuifanya kazi yako kwa ufanisi, ndiyo sababu halisi iliyosababisha awaachie kazi yao!!
Naweza kuthibitisha hili pasipo shaka yoyote kwa sababu mimi hapa nilipo ni mtumishi wa umma na kwa sasa kwa kweli tuliochini tunafanya kazi ktk mazingira magumu na dhariri sana hasa kutoka kwa wanasiasa hawa wa kuteuliwa!!
Yaani kuna wengine wanatoa matamko na maagizo yasiyotekelezeka kisheria na kitaalamu ili mradi tu waonekane wamesema na wao ndiyo wakubwa especially hawa wanaoitwa ma DC & RC.....ni shida tupu!!
Mbaya zaidi kwa sasa serikali hai fund kwa kiwango cha kutosheleza taasisi zake karibu zote lakini wakati huohuo wanataka mambo yaende tu!!
Amini usiamini kuna watu ambao hata huwajibiki kwao lakini wanaweza kuja ktk ofisi yako mara leta hili mara kile na mara ifikapo siku flani utuletee hiki na hiki.
Hiyo pengine siyo ishu kubwa sana. Lililo baya zaidi ni kuwa usiseme kuna kitu kimeshindwa kufanyika kwa sababu ya ukosefu wa fedha au kwa sbb ya changamoto hii na hii....wataona wewe ndiye UKUTA....wanalala na wewe mbereeeee!!
Wanachotaka wao ni kuwa wakikuambia paa, usiulize utapaaje wakati wewe siyo ndege mwenye mabawa........wanachotaka wao ni lazima upae tu!!
Dokta yuko sahihi na after all taaluma yake tu ni bidhaa inayojiuza yenyewe!!
Ni kweli Mkuu,mimi na shahidi nilimpeleka NDUGU YANGU USIKU WA KUAMKIA JANA,alikywa na ratizo la akinamama! Wafantakazi wanafanya kazi kwa weledi sana na kujali.LAKINI HOSPITALI HAINA DAWA WALA VITENDANISHI,TULINUNUA HADI GLOVES NA PANADOL...Vitanda havina mashuka ! Hivi ktk mazingira haya inabidi uwe na moyo kufanya kazi! -afu mtu mwingine anatukana jukwaani!
heheheheee! are you serious?Aende zake tu, nchi ina wataalamu wengi sana, wengine hawana ajira,
Sasa ana hofu gani kama kila kitu kinafanyika vizuri?
Kupiga dili hakupo mtaachia sana ngazi kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguuMganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Sasa atafanya kazi SAA ngapi?Kwani wakija na mambo yako vizuri tatizo linakuwa wapi,
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
Kigagwala na makonde utaanza na naniFirst in first out
fifo