Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alisomeshwa na wazaz wake sawa bt kma alisomeshwa kwa pesa zetu walala hoi hatutomuacha mzima huyo..... tutachunguza chanzo cha jeur yake lazma kuna kitu kafanya...... pole yakeMganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Daaahhh hawa jamaa wanataka nini?? juzi ma injinia waliambiwa na wanasiasa watoe bomsi zote barabaraniMganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Lakini tunajuaje undani wa tatizo! Kwa nini tusidhani kuwa amewahi ukaguzi wa vyeti fake. Asije akaumbuliwa. Manake wapoo. Anajifanyaeti anafuatwafuatwa. Yeye pekee nchi nzima? ?Amesema mashinikizo, siyo kukaguliwa!.
Dr. Anashinikizwa kufanya kazi kama watakavyo wasio kuwa na taaluma. Taaluma inathamani sana.
Engineer, anashinikizwa kujenga miundo mbinu duni ili mradi finishing ing'ae. Muungwana ataona dhamira yake inamshitaki kwa madhara yatakayotokana na kazi yake, na hivyo akiona shinikizo hlio lisiol utaalamu linaendelea, ataachia ngazi. Huo ndio utamaduni tunataka. Lakini isje kuwa yeye ndiye anafanya kazi chini ya kiwango na anataka kuhalalisha kwa sababu zake binafsi. Huyo tutamwambia aende tu.
Hakimu binadamu, vile vile hatakubali kulazimishwa kupindisha hukumu kinyume cha sheria kwa kuwafurahisha watu wasio wana taaluma. Tuliona wa Nkurunzinza, aliondoka usiku kwa usiku na kuenda ukimbizini, akikimbia dhambi ya kupindisha sheria ili zimfae mtawala.
Huo ndio uungwana wa kitaaluma.
Dr. Ahsante kama umeilinda taaluma kwa ustawi wa Afya zetu. Kama umejiuzulu kwa sababu unataka kutetea na kuhalaisha uzembe, uende salama.
umeanza vizuri,ukamaliza kinafiki.ccm ni janga la taifaAmesema mashinikizo, siyo kukaguliwa!.
Dr. Anashinikizwa kufanya kazi kama watakavyo wasio kuwa na taaluma. Taaluma inathamani sana.
Engineer, anashinikizwa kujenga miundo mbinu duni ili mradi finishing ing'ae. Muungwana ataona dhamira yake inamshitaki kwa madhara yatakayotokana na kazi yake, na hivyo akiona shinikizo hlio lisiol utaalamu linaendelea, ataachia ngazi. Huo ndio utamaduni tunataka. Lakini isje kuwa yeye ndiye anafanya kazi chini ya kiwango na anataka kuhalalisha kwa sababu zake binafsi. Huyo tutamwambia aende tu.
Hakimu binadamu, vile vile hatakubali kulazimishwa kupindisha hukumu kinyume cha sheria kwa kuwafurahisha watu wasio wana taaluma. Tuliona wa Nkurunzinza, aliondoka usiku kwa usiku na kuenda ukimbizini, akikimbia dhambi ya kupindisha sheria ili zimfae mtawala.
Huo ndio uungwana wa kitaaluma.
Dr. Ahsante kama umeilinda taaluma kwa ustawi wa Afya zetu. Kama umejiuzulu kwa sababu unataka kutetea na kuhalaisha uzembe, uende salama.
Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
Atakuwa alikuwa na matatizo huyo. Si bure.Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Tatizo ni maropoko toka kwa vijana wa Magu.
umeanza vizuri,ukamaliza kinafiki.ccm ni janga la taifa
Tatizo ni kwamba kila wanapokuja ni lazima asitishe shughuli ili aanze kutoa maelezo na kupiga nao mapicha!Kwani wakija na mambo yako vizuri tatizo linakuwa wapi,
Lakini tunajuaje undani wa tatizo! Kwa nini tusidhani kuwa amewahi ukaguzi wa vyeti fake. Asije akaumbuliwa. Manake wapoo. Anajifanyaeti anafuatwafuatwa. Yeye pekee nchi nzima? ?
madili yamekata, kula mshahara pekee inakuwa ngumu sana.Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
Taaluma ya tiba nchi hii iliishalalamikiwa muda mrefu sana. Monitoring yao haina meno. Pa1 na madudu yote waliyokwishafanya nchi hii hatukuwahi kusikia dr kawajibishwa,hadi utawala huu uliposhika hatamu.Kwani hao Madaktari miaka yote wanafanyaje kazi zao kwa ufanisi,kwani hawana monitoring?
Imethibitika kuwa huu ni uongo uliokubuhu. Mganga anasema muache kusambaza uongo mitandaoni ili kutafuta umaarufu wa kisiasa.Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.