Mambo mengine msiwe mnatuletea hapa, mnakera sana ujue...ina maana mnataka kulazimisha watu wafanye kazi hata kama hawataki hizo teuzi zenu? Hivi mnafikiri watu wote wanapenda hizo teuzi zenu?Akapige Private? Angeomba kwanza ushauri kwa yule aliekataa U DC kwa ajili ya kazi yake Tigo ili ajue kilifuata nini?