Tetesi: Mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya Amana dr Shimwela amejivua madaraka

Tetesi: Mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya Amana dr Shimwela amejivua madaraka

HAWA VIONGOZI/WANASIASA UCHWAR HAWA HESHIMUU TAALUMAA ZA WATU...
MIMI KATIKA MAISHA YANGU HAKUNA WATU NNAWO WAHESHIMU KAMA
1)MADOKTA
2)MANESI
3)WALIMU

OVAA
 
Boooooraaaa congrats dokta shimwela....kisa cha kukosa amani ni nini....kapige zako private upate hela kwa raha zako .pesa yenyewe ndg maneno maneno mengi..

Akapige Private? Angeomba kwanza ushauri kwa yule aliekataa U DC kwa ajili ya kazi yake Tigo ili ajue kilifuata nini?
 
Huyu dr shimelwa achunguzwe nilishangaa anapata wapi pesa za kununua magari ya kifahari kama vile Range rover na Suzuki tena zero kilometa kutoka cfao motors yeye kama mtumishi wa umma atuambie pesa hizi amezitoa wapi
Watanzania kweli ni mufilisi na wivu. Yaani mtu ana elimu yake unataka awe maskini ili iwe sifa kwako?
Hii ni aibu. Mzee Lusekelo aliwahi kusema yeye HAAMINI KATIKA UMASKINI/UFAKIRI
 
Tabby,

Huyo daktari sidhani kama kaamua kuachia ngazi kwa sbb ya kutetea uzembe

Mimi naamini kabisa sababu ya kufanya kazi kwa mashinikizo na pasipo hata kujengewa mazingira bora ya kuifanya kazi yako kwa ufanisi, ndiyo sababu halisi!!

Naweza kuthibitisha hili pasipo shaka yoyote kwa sababu mimi hapa nilipo ni mtumishi umma na kwa sasa kwa kweli tuliochini tunafanya kazi ktk mazingira magumu na dhariri sana!!

Amini usiamini kuna watu ambao hata huwajibiki kwao lakini wanaweza kuja ktk ofisi yako mara leta hili mara kile na mara ifikapo siku flani utuletee hiki na hiki.

Hiyo pengine siyo ishu kubwa sana. Lililo baya zaidi ni kuwa usiseme kuna kitu kimeshindwa kufanyika kwa sababu ya ukosefu wa fedha au kwa sbb ya changamoto hii na hii!!

Wanachotaka wao ni kuwa wakikuambia paa, usiulize utapaaje wakati wewe siyo ndege mwenye mabawa........lazima upae tu!!

Dokta yuko sahihi na after all taaluma yake tu ni bidhaa inayojiuza yenyewe!!
Kitaturu mimi napinga hoja yako kwa asilimia 200%
1. wafanyakazi wote w serikali na secta binafsi wengi wazembe.
2. wafanyakazi wa serikali wengi bado wana mindset ya 1936 while tupo 2016 tena sio tanzania tu ila duniani kote watu wanafanya kazi kwa speed ya karne 21
3. Wafanyakazi sio wabunifu wanapenda kila kitu kuwambiwa kusubiri spoon feeding mtu mkurugenzi pesa yote ipo kwako unashindwa kuongoza watu na watu wanakuwa majizi, watoro na wasio fuwata sheria za kazi bado unalalamika je unataka rais aje kutumbuwa mpaka wale wapochini yako.... aibu kwakweli bora akalime migomba...
4. Wafanyakazi wengi ndani ya serikali mpaka mashirika ya umma walizoea maisha ya bure mtu hafanyi kazi anafanya mambo yake mshara anapata siku zinaenda this time hakuna pesa kama hufanyi kazi hilo linawauma wengi sana.
5.WATU WAZEMBE BONGO LALA HAWANA HATA MAGUNDUZI YEYOTE KWELI MIMI NINGEKUWA MAGUFULI LEDANDAS NDIO FIMBO YA MWISHO KUWAADHBU WAFANYAKAZI MIZIGO.....
 
Wadau naomba kuuliza. Hivi mtumishi wa umma anaweza kuacha kazi ndani ya masaa 24 siku za wikiendi ambazo siyo siku rasmi za kazi katika hizi ofisi za serikali? Au huyo Dr atakuwa alikabidhi hiyo barua ya kuacha kazi jana Ijumaa?
 
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
anafuatiliwa kwa lipi?nani anamshinikiza? kwa nini vyombo vyadola vinamnyima raha? kama si kwa nama yake basi analake jambo now days amelikosa,kumbuka serikali ilipiga marufuku uwepo wa maduka ya dawa karibu na hospotali
 
ASEME KWELI UFISADI PESA YA BURE HAKUNA ANATYAKIWA KUFANYA KAZI APATE MSHAHARA.
Mh Rais Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
unafikiri degree ya ualimu hiyo!! shame on you
 
Viongozi wakisiasa wajirekebishe, waache kutafuta cheap popularity kwa kuvamiavamia maofisi ya watu. Waache wataalamu wafanye kazi zao kwa Uhuru then wasipoona matokeo ndio wahoji
 
Hongera zake...maana is professional doctor.....
 
Kitaturu mimi napinga hoja yako kwa asilimia 200%
1. wafanyakazi wote w serikali na secta binafsi wengi wazembe.
2. wafanyakazi wa serikali wengi bado wana mindset ya 1936 while tupo 2016 tena sio tanzania tu ila duniani kote watu wanafanya kazi kwa speed ya karne 21
3. Wafanyakazi sio wabunifu wanapenda kila kitu kuwambiwa kusubiri spoon feeding mtu mkurugenzi pesa yote ipo kwako unashindwa kuongoza watu na watu wanakuwa majizi, watoro na wasio fuwata sheria za kazi bado unalalamika je unataka rais aje kutumbuwa mpaka wale wapochini yako.... aibu kwakweli bora akalime migomba...
4. Wafanyakazi wengi ndani ya serikali mpaka mashirika ya umma walizoea maisha ya bure mtu hafanyi kazi anafanya mambo yake mshara anapata siku zinaenda this time hakuna pesa kama hufanyi kazi hilo linawauma wengi sana.
5.WATU WAZEMBE BONGO LALA HAWANA HATA MAGUNDUZI YEYOTE KWELI MIMI NINGEKUWA MAGUFULI LEDANDAS NDIO FIMBO YA MWISHO KUWAADHBU WAFANYAKAZI MIZIGO.....

TumainiEL

Mimi kamwe sitetei uzembe wala ufanyaji kazi kwa mindset ya mwaka 47

Mimi sitetei mfanyakazi mtoro kazini au mvivu au mwizi na mengine yanayofanana na hayo

Hoja yangu imejikita ktk kuweka mazingira wenzeshi ili mfanyakazi huyu wa umma atekeleze majukumu yake kwa ufanisi pasipo malalamiko!!

Na, je unataka kuniambia kuwa wajibu wa kazi uko kwa mfanyakazi tu? Nini wajibu wa serikali sasa?

Na kumbuka mimi niko na namtetea mfanyakazi wa mwisho kabisa ktk chain ya utumishi wa umma

Kama ni ktk sekta ya afya namzungumzia daktari, nesi na wengine. Siko kwa DED au Waziri!!

Kama ni ktk sekta ya elimu, namzungumzia mwalimu anayefundisha wanafunzi shuleni. Na hii ndiyo sekta yenye matatizo lukuki na yanayopaswa kutatuliwa na serikali au jamii yenyewe!!

Kamwe simtetei mkurugenzi ambaye anazo fedha za kufanyia kazi fulani, lakini yuko pale analalamika tu wakati hosptalini hakuna dawa au watoto wanakaa chini!!

Kwa hiyo; iwe tunapenda au hatupendi kuambiwa....serikali inao wajibu wake wa kufanya tena mkubwa na inaposhindwa ni sharti ibebe lawama tuuu!!
 
Tuache unafiki madaktari na manesi Huduma zao Ni mbovu hivyo usimamizi WA Katibu unahitajika. Kama yy hapati guess ya kupiga deal asilete visingizio
Hivi unajua watu hao uliowataja wanafanya kazi katika mazingira magumu saana hapa Tanzania...vifaa tiba hakuna ,wapo wachache tofauti na idadi wa wateja (wagonjwa)wanaowaona kwa siku.utakuta hosp haina hata surgical gloves na manesi au daktar wanafanya kazi kwa examination gloves procedurei inayohusisha damu kama kung'oa jino ..kusafisha vidonda nk...na hapo wanajirisk afya zao na husikii wamegoma lakini bado mpo watu kama nyie kazi yenu kuongea hata hujui usemalo..imefika wakati sasa hata mgonjwa akifa kifo cha kawaida kabisa lawama wanatupiwa madaktari na manesi .vifaa tiba na dawa kama hakuna wanaambiwa wameuza au wamepeleka kwenye maduka yao ya dawa.
 
Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.

Huyo ni doctor mbabaishaji tu. Maana angekuwa mtendaji mzuri asingejivua. Ukanjanja wake umefikia mwisho.
 
Back
Top Bottom