Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boooooraaaa congrats dokta shimwela....kisa cha kukosa amani ni nini....kapige zako private upate hela kwa raha zako .pesa yenyewe ndg maneno maneno mengi..
Achanaa na huyo boyaa dokta huyo akienda bostwana au namibiaa ah anapiga kazi hku akila kumi kwa mrijaa....Umewai kuona Dr kakosa kazi au ndio kufikiri kwa kutumia makali.o
Watanzania kweli ni mufilisi na wivu. Yaani mtu ana elimu yake unataka awe maskini ili iwe sifa kwako?Huyu dr shimelwa achunguzwe nilishangaa anapata wapi pesa za kununua magari ya kifahari kama vile Range rover na Suzuki tena zero kilometa kutoka cfao motors yeye kama mtumishi wa umma atuambie pesa hizi amezitoa wapi
Kitaturu mimi napinga hoja yako kwa asilimia 200%Tabby,
Huyo daktari sidhani kama kaamua kuachia ngazi kwa sbb ya kutetea uzembe
Mimi naamini kabisa sababu ya kufanya kazi kwa mashinikizo na pasipo hata kujengewa mazingira bora ya kuifanya kazi yako kwa ufanisi, ndiyo sababu halisi!!
Naweza kuthibitisha hili pasipo shaka yoyote kwa sababu mimi hapa nilipo ni mtumishi umma na kwa sasa kwa kweli tuliochini tunafanya kazi ktk mazingira magumu na dhariri sana!!
Amini usiamini kuna watu ambao hata huwajibiki kwao lakini wanaweza kuja ktk ofisi yako mara leta hili mara kile na mara ifikapo siku flani utuletee hiki na hiki.
Hiyo pengine siyo ishu kubwa sana. Lililo baya zaidi ni kuwa usiseme kuna kitu kimeshindwa kufanyika kwa sababu ya ukosefu wa fedha au kwa sbb ya changamoto hii na hii!!
Wanachotaka wao ni kuwa wakikuambia paa, usiulize utapaaje wakati wewe siyo ndege mwenye mabawa........lazima upae tu!!
Dokta yuko sahihi na after all taaluma yake tu ni bidhaa inayojiuza yenyewe!!
anafuatiliwa kwa lipi?nani anamshinikiza? kwa nini vyombo vyadola vinamnyima raha? kama si kwa nama yake basi analake jambo now days amelikosa,kumbuka serikali ilipiga marufuku uwepo wa maduka ya dawa karibu na hospotaliMganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
unafikiri degree ya ualimu hiyo!! shame on youASEME KWELI UFISADI PESA YA BURE HAKUNA ANATYAKIWA KUFANYA KAZI APATE MSHAHARA.
Mh Rais Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mwambie huyoUmewai kuona Dr kakosa kazi au ndio kufikiri kwa kutumia makali.o
Mkuu alisema eti kila mwenye kadi ya Kijani eti ni bosiKama siasa imefika mpaka Mahospitali hii sio sawa na ni hatari sana.
shida ni pale mambo ya kitaaluma wao wanaweka siasaKwani wakija na mambo yako vizuri tatizo linakuwa wapi,
Kitaturu mimi napinga hoja yako kwa asilimia 200%
1. wafanyakazi wote w serikali na secta binafsi wengi wazembe.
2. wafanyakazi wa serikali wengi bado wana mindset ya 1936 while tupo 2016 tena sio tanzania tu ila duniani kote watu wanafanya kazi kwa speed ya karne 21
3. Wafanyakazi sio wabunifu wanapenda kila kitu kuwambiwa kusubiri spoon feeding mtu mkurugenzi pesa yote ipo kwako unashindwa kuongoza watu na watu wanakuwa majizi, watoro na wasio fuwata sheria za kazi bado unalalamika je unataka rais aje kutumbuwa mpaka wale wapochini yako.... aibu kwakweli bora akalime migomba...
4. Wafanyakazi wengi ndani ya serikali mpaka mashirika ya umma walizoea maisha ya bure mtu hafanyi kazi anafanya mambo yake mshara anapata siku zinaenda this time hakuna pesa kama hufanyi kazi hilo linawauma wengi sana.
5.WATU WAZEMBE BONGO LALA HAWANA HATA MAGUNDUZI YEYOTE KWELI MIMI NINGEKUWA MAGUFULI LEDANDAS NDIO FIMBO YA MWISHO KUWAADHBU WAFANYAKAZI MIZIGO.....
Hivi unajua watu hao uliowataja wanafanya kazi katika mazingira magumu saana hapa Tanzania...vifaa tiba hakuna ,wapo wachache tofauti na idadi wa wateja (wagonjwa)wanaowaona kwa siku.utakuta hosp haina hata surgical gloves na manesi au daktar wanafanya kazi kwa examination gloves procedurei inayohusisha damu kama kung'oa jino ..kusafisha vidonda nk...na hapo wanajirisk afya zao na husikii wamegoma lakini bado mpo watu kama nyie kazi yenu kuongea hata hujui usemalo..imefika wakati sasa hata mgonjwa akifa kifo cha kawaida kabisa lawama wanatupiwa madaktari na manesi .vifaa tiba na dawa kama hakuna wanaambiwa wameuza au wamepeleka kwenye maduka yao ya dawa.Tuache unafiki madaktari na manesi Huduma zao Ni mbovu hivyo usimamizi WA Katibu unahitajika. Kama yy hapati guess ya kupiga deal asilete visingizio
Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.