Tetesi: Mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya Amana dr Shimwela amejivua madaraka

Aende zake huko
Kaona ukaguzi wa vyeti vya form four umeshika kasi kaamua kujitumbua mwenyewe kabla ya kutumbuliwa
 
Vyeti feki! Ameona ni bora ajitumbue mwenyewe ili awe na visingixio visivyo sahihi
 
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Kama alisomeshwa na wazaz wake sawa bt kma alisomeshwa kwa pesa zetu walala hoi hatutomuacha mzima huyo..... tutachunguza chanzo cha jeur yake lazma kuna kitu kafanya...... pole yake
 
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Daaahhh hawa jamaa wanataka nini?? juzi ma injinia waliambiwa na wanasiasa watoe bomsi zote barabarani
 
Amesema mashinikizo, siyo kukaguliwa!.

Dr. Anashinikizwa kufanya kazi kama watakavyo wasio kuwa na taaluma. Taaluma inathamani sana.

Engineer, anashinikizwa kujenga miundo mbinu duni ili mradi finishing ing'ae. Muungwana ataona dhamira yake inamshitaki kwa madhara yatakayotokana na kazi yake, na hivyo akiona shinikizo hlio lisiol utaalamu linaendelea, ataachia ngazi. Huo ndio utamaduni tunataka. Lakini isje kuwa yeye ndiye anafanya kazi chini ya kiwango na anataka kuhalalisha kwa sababu zake binafsi. Huyo tutamwambia aende tu.

Hakimu binadamu, vile vile hatakubali kulazimishwa kupindisha hukumu kinyume cha sheria kwa kuwafurahisha watu wasio wana taaluma. Tuliona wa Nkurunzinza, aliondoka usiku kwa usiku na kuenda ukimbizini, akikimbia dhambi ya kupindisha sheria ili zimfae mtawala.

Huo ndio uungwana wa kitaaluma.

Dr. Ahsante kama umeilinda taaluma kwa ustawi wa Afya zetu. Kama umejiuzulu kwa sababu unataka kutetea na kuhalaisha uzembe, uende salama.
Lakini tunajuaje undani wa tatizo! Kwa nini tusidhani kuwa amewahi ukaguzi wa vyeti fake. Asije akaumbuliwa. Manake wapoo. Anajifanyaeti anafuatwafuatwa. Yeye pekee nchi nzima? ?
 
umeanza vizuri,ukamaliza kinafiki.ccm ni janga la taifa
 
Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.

Kabla ya kushangilia mganga mkuu kuacha kazi na kuicha hospital taharukini....tungejiuliza kwa nini kila mara afatiliwe yeye wakati kuna hospital nyingine kama Mwananyamala,Temeke,Tumbi n.k huko kuko shwali?.....
 
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Atakuwa alikuwa na matatizo huyo. Si bure.
 
Lakini tunajuaje undani wa tatizo! Kwa nini tusidhani kuwa amewahi ukaguzi wa vyeti fake. Asije akaumbuliwa. Manake wapoo. Anajifanyaeti anafuatwafuatwa. Yeye pekee nchi nzima? ?

Amesema mashinikizo. Na kwa hali ya sasa, anglikuwa na tatizo hilo, ungeona makonda na media zote hadi za jeshi akitangaza.

Tunahitaji kujua anashinikizwa kufanya nini. Kama anashinikizwa kuharibu taaluma kamaambavyo kwa sasa hapa ni kama ada safi sana. Amefanya vema mno na ni mfano wa kuigwa. Tunaomba hata wana taaluma wengine, wanapoona mi vilaza ina washinikiza kufanya kinyume cha taaluma, waachie ngazi ili pengine wale wanaofikiria taaluma inapigiwa kura, wajifunze thamani ya elimu.

Lakini kwa sababu za kibinadamu, tunauliza labda kama anaondoka kwa kiburi cha kutokutaka kuumbushwa misingi yake ya kazi, tumsaidie. Hata hili lipo ingawa kwa hali iliyopo uwezekana ni mdogo sana.
 
Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
madili yamekata, kula mshahara pekee inakuwa ngumu sana.
 
Kwani hao Madaktari miaka yote wanafanyaje kazi zao kwa ufanisi,kwani hawana monitoring?
Taaluma ya tiba nchi hii iliishalalamikiwa muda mrefu sana. Monitoring yao haina meno. Pa1 na madudu yote waliyokwishafanya nchi hii hatukuwahi kusikia dr kawajibishwa,hadi utawala huu uliposhika hatamu.
Siyo madaktari tu, bali hata baadhi ya taasisi nyeti za umma,mfn: polisi na mahakama na wote waliogeuza ofisi ni vijiwe vya kupiga hela na kusumbua wananchi,chekeheo hili linawahusu.
Wajiuzuru,wafukuzwe,washitakiwe na kufungwa ama watoroke kazi,sisi raia hatuna hasara,hasara ni kwa matumbo yao.
Maana huduma walizotakiwa kuzitoa kwa umma,walizitoza pesa. Sisi tunaona kama Mola kashusha baraka zake, baada ya mabaradhuli hao kujifanya miunguwatu kwa miaka nendarudi na raia tushachoka.
 
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Imethibitika kuwa huu ni uongo uliokubuhu. Mganga anasema muache kusambaza uongo mitandaoni ili kutafuta umaarufu wa kisiasa.
Chanzo: East African Radio.
 
Back
Top Bottom