Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Swala la hujuma au hakuna hujuma sio la muhimu,muhimu ni kwamba uongozi unachukua hatua gani? Over
 
Kuhujumiwa raisi kupo, mfano Kuna mikoa haitegemei maji ya mito mfano mikoa ya kanda ya ziwa inategemea maji ya ziwa Victoria Ila nayo kwa sasa Kuna mgao mkali wa maji. Au unataka kusema ziwa nalo maji yamepungua?
 
Ruvu na wami maji yamepungua, akija mpya atayapata wapi hayo maji.
Kwa wanajitegemea maji ya ziwa Victoria nao vipi? Ziwa limepungua maji?

Waziri amemuangusha raisi, nashauri ampe onyo Kali.

Kwa dar tunasema mto ruvu umepungua mai, vipi kwa mikoa ya kanda ya ziwa wanaotumia maji ya ziwa Victoria?
 
Kuhujumiwa raisi kupo, mfano Kuna mikoa haitegemei maji ya mito mfano mikoa ya kanda ya ziwa inategemea maji ya ziwa Victoria Ila nayo kwa sasa Kuna mgao mkali wa maji. Au unataka kusema ziwa nalo maji yamepungua?
Hujasikia kuna mkataba wa maji ya ziwa Victoria kwenda kwa Waarabu Misri? Hivi nyie watu mnaishi wapi?
 
Hujasikia kuna mkataba wa maji ya ziwa Victoria kwenda kwa Waarabu Misri? Hivi nyie watu mnaishi wapi?
Inahusiana vipi? Au huo mkataba umeanza mwezi uliopita? Mradi uloshakamilika toka mwaka Jana na maji yalianza kutumika, Ila kwa miezi miwili hivi shida ya maji ndio imekua kubwa sana
 
Mama D
Hebu tupe mtonyo watendaji walivyozuia mvua huko juu!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaohujuwima ni sisi wananchi, mama kwani Miss Nini katika maisha yake. Kama ni umeme kwake haukati, kama ni maji yapo ya kumwaga. Tunaohujumiwa ni sisi tunaoshinda kutwa mzima kutafuta maji
 
Kuhujumiwa raisi kupo, mfano Kuna mikoa haitegemei maji ya mito mfano mikoa ya kanda ya ziwa inategemea maji ya ziwa Victoria Ila nayo kwa sasa Kuna mgao mkali wa maji. Au unataka kusema ziwa nalo maji yamepungua?
Ukiangalia mada yangu ime-base kwenye mikoa inayotumia maji ya mito kwa sababu moja ya mikoa hiyo ni Dar es salaam, na ni Dar e salaam ndiko ambako likitokea tatizo basi siku hiyo hiyo malalamiko yatasambaa kila kona!

Tukirudi huko wanakotegemea ziwa, especially Ziwa Viktoria... tujiulize hilo tatizo lipo sasa tu au linaonekana sasa kwavile Dar kuna tatizo?!

Binafsi sifahamu lolote kuhusu hilo kwa sababu siishi huko but the question is: Huko wanakulalamika kwamba kuna tatizo la maji, je, mradi wa maji Ziwa Viktoria ulishafika?!

Sometimes watu wanalalamika kwa kuona wanapata shida ya maji wapo karibu na ziwa, na wanapata hiyo shida kwa sababu mradi hujafika... katika mazingira kama hayo huwezi kuita hujuma bali ni serikali yenyewe kushindwa kusambaza huduma kila mahali!
 
Yule dikteta alikuwa hadi anapiga humohumo na haukatiki watu wakawa wanaharakatii.... Sasa wanapiga na hatupati,
 
Mkuu lawama zinaumiza nafsi yako tu hazikusaidii wala hazisaidii matatizo yako yakafikia mwisho.

SSH anafanya kazi kubwa sana tembea huko mikoani sio unalalama ukiwa ndani ya nyumba yako sehemu fulani ya Dar.
 
Umeuma maneno!

Sisi wananchi tunataka huduma na sio hadithi.
 
Nchi imewashinda mnasema mnahujumiwa, mnapoelekea mtasema uhaba wa maji unasababishwa na wapinzani
 
Watanzania tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…