Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Wanaihujimu vipi? Wao ndio wameleta Ukame?
Jibu hoja ,ni vipi watumishi wanaihujumu serikali ya awamu ya 6?Umeandika hayo Kwa utashi wako kabisa na uwezo wako wote wa kufikiri ? Au ? [emoji2369]
Jibu hoja ,ni vipi watumishi wanaihujumu serikali ya awamu ya 6?
Jibu hoja ,ni vipi watumishi wanaihujumu serikali ya awamu ya 6?
Tatizo ni maono au pesa? πππππππππKuhusu kuhujumu hapana.
Isipokuwa kuna tatizo la kutowajibika kwa Viongozi wa serikali wenye maamuzi.
Wameshindwa kuwa na maono (Vision).
Kiongozi mkubwa (C.E. Os) wanapaswa kubeba maono yaani Foreseers wa wananchi .
Maji ni hitaji la msingi sana la binadamu linapaswa kupewa kipaombele kikubwa.
Tatizo ni maono au pesa? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yupo kwa mke mkubwa anakula dodoAwesu yuko wapi?