Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Muda wa Asali huu na Maendeleo binafsi ya watu.
Hayo ma umeme na maji ni maendeleo ya vitu, na maendeleo ya vitu aliondoka nayo mwendazake.
Tafta channel ya asali ununue jenereta lako, uchimbe kisima chako uache malalamiko.
Ushamba mzigo.

Nchi hii tumepata Uhuru hatuna hata bwawa moja la Umeme. Kila jambo lazima mumpe sifa mwendazake. Mnachora picha kwenye maji, haitaonnekana kamwe.
 
Msichoelewa ni kwamba, haya mambo hayawezi kufanyika bila kumpa her excellency briefing. Kama tatizo ni uhaba wa maji, miundombinu kurekebishwa mimi naamini lazima ajulishwe.

Na mmbado, tatizo ni serikali ya ccm.
 
Ushamba mzigo.

Nchi hii tumepata mzigo hatuna hata bwawa moja la Umeme. Kila jambo lazima mumpe sifa mwendazake. Mnachora picha kwenye maji, haitaonnekana kamwe.
Kwani uongo?

Si hamtaki maendeleo ya vitu nyie?

Mnataka asali tu!! Haya lambeni asali ya majenereta.

Wacha mnyooshwe na watoto wa mjini wanaojua kucheza na akili za mazuzu ya danganyika.
 
Uongo mtupu.
Wewe kama hapo Dar es Salaam ulisahau shida ya maji na umeme miaka mitano iliyopita hauwakilishi Watanzania wengi wasio na uwezo wa kutoa ushuhuda wao hapa.

Nchi hii kuna mamilioni ya watu ambao maisha yao yote maji ya bomba ni anasa, wanayatumia kunywa na kupikia tu na yanapatikana kwa manati, hata chini ya kipenzi chenu jiwe hali hiyo haijwahi kubadilika kwao.
 

Yaani wewe akili zako sijui unakopaga wapi
Unaongeaongeaga na kuandikaandika vitu vya aina yako. Yaani dah, huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…