Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Mabadiliko ya hali ya hewa yamehujumiwa? Hamuoni mabadiliko ya hali ya hewa? Nyie endeleeni kuua vyanzo vya maji afu baadae mkikosa mvua mje mseme mmehujumiwa

Mabadiliko ya hali ya hewa sio kitu cha ghafla, yamekua yakitokea sana tuu.
Nini mipango ya kupambana nayo ili kuondoa au kupunguza athari zake kabla hazijatokea?
 
Afadhari umeme na maji havipo ila ajira zipo z kumwaga Kila Kona kuliko enzi zile umeme na maji vipo au vya kusuasua llakini ajira zotezimepigwa Pini tukabaki tunatamani afadhari vikundi vya kigaidi bike tujiunge mfano kibiti
 
Hatutaki blah blaah... tunataka UMEME UWAKE.

Tunalipa kodi nyingi sana msitufanye mazuzu! Kazi zetu zimesimama kila siku mnakata umeme, mtatulisha nyie!??

Ngoja siku nije hapo Tanesco nimevaa chupi kichwani tutaelewana!

Nchi ina kila kitu lakini hamuachi kupiga ngonjera!

Tumechoka ngonjera, tunataka umeme!
 
Sisieemu hoyeee...umeme hoyeeeeee maji hoyeeeee ajira hoyeeee ...mfumuko wa bei hoyeeeee....
 
Kimenuka.....
 

Kwa ugumu huu wa maisha nakuelewa sana, kwa sisi tunaotegemea kutumia umeme ndio tuweze kupata kipato cha kuendesha maisha yetu tunaelewa nini kinatupata tunaposhindwa kuingiza siku ati sababu hamna umeme

Nadhani hawawezi kukuacha uvae chup kichwani mkuu
 
Comrade waziri wa maji has been present in that ministry for a while, kwanza kama Deputy na sasa kama Full minister. Yeye pamoja na CEO wa DAWASA hawachoki kuja kila mwaka na the same excuse of drought. Wanatafuta Political mileage ya kusambaza mabomba yanaytoa maji siku ya uzinduzi thereafter maji hamna kwa sababu ya drought. Going by maths za comrade RC DSM, we should at least be getting water three times per week.

Mbezi,Kunduchi na Bahari Beach wana zaidi ya wiki. Waziri na CEO please go for what is sustainable na tuache kutafuta Political mileage.
 
Hujuma dhidi ya Samia zimekuwa nyingi tena ni haohao Wanaccm wenzake wameanza kampeni.

Asepe tu...amwachie Pole Pole...viongozi hodari wachapa kazi wapo, majasiri wakupambana na mafisadi wapo,.... chakufia... akapumzike kwao Zenji kiroho safi...aje msukuma anaejielewa atunyoosheee tena...maana watu wamelala business as usual
 
Walishasema wao wa kweli na ukame ni awamu ya sita tu... Kufanya service ni awamu ya sita.

Inaonekana hii awamu ya sita inatokea SAYARI ya masi.
 
Hujuma dhidi ya Samia zimekuwa nyingi tena ni haohao Wanaccm wenzake wameanza kampeni.
Si alibadirisha menejimenti na bodi ya wakurugenzi, yaani wote wapya hadi yule muuza vingamuzi.

Mkuu vingamuzi na umeme vinawiana?

Halafu MAPIMBI utawasikia tumpe muda na anaupiga mwingi.
 
Dah!

Huyu magufuli atakuwa hatari sana, hadi Bwana la mtera, mto ruvu kakausha maji?

Na bei ya vyakula na pembejeo kapandisha hayati.
 
Sababu ya kwamba kina cha maji kimeshuka imekua ikitolewa kila mara
Kuendelea kutoa hiyo sababu inamaanisha tuna viongozi wasioweza kutatua matatizo na hao hawatufai
Halafu ana utaka uraisi kwa udi na uvumba, wizara tu imemshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…