Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu falcon mombasa hata wakirudi wote maana hiyo itakuwa ni nguvu ya mungu anaisaidia cdm kuwaondoa hao wasaliti,cdm itabakia salamaNimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june
Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo
Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa
My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa
falcon mombasa
Hakuna makubwa zaidi kama ile mlivyo mrubuni slaa akabwaga manyanga katikati ya uchaguzi mkuu mwaka jana,maccm hamna akiliHivi kwa hii kasi ya.magufuli inawezekanaje CDM kubaki salama?
Sio kina mgeja tu,jiandaeni kwa makubwa zaidi!
Kama ilivyo uzwa tanzania kwa wawekezaji na serikali ya ccm?Chama kimeuzwa! Wanaorudi wanalijua hilo
Mpendazoe ndo wa kwanza kwenda kuomba msamaha maana amesha pauka kama mchimba kifusiSijui mpendazoe atakosa humo kama ni kweli?
Hii taarifa sio kweli kwa kila kitu. Mgeja ni LOWASSA damu, hawezi kuachana naye HATA SIKU MOJA. Kuna waliojiunga CHADEMA bila kujua kuwa Lowassa naye angekwenda huko. Hao ni kama Lembeni. Ukiniambia yeye ataomba msamaha arudi CCM naweza kuamini kwa sababu sidhani kama Mzee Lowassa angefurahi kama Lembeni angepata Ubunge. Sio Mgeja bwana, huyu hatenganishwi na Lowassa.Nimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june
Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo
Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa
My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa
falcon mombasa
unakunywa laga huku miguu imekuozea..weita lete castle lager mbili baridi...
Dr. Slaa aliondoka CHADEMA kwa sababu yeye sio mnafiki. Asingeweza kukaa meza moja na mtu ambaye chama chake kilizunguka nchi nzima kuueleza umma kisahihi kabisa kuwa ndiye kiongozi wa mafisadi nchini. Kujifanya amesahau hayo na kuanza kumwona kama ni shujaa ambaye angeleta mabadiliko TZ roho yake ilikataa kwa sababu haina unafiki. Wenzake walipewa mapesa "wakabadilisha gear" na kuanza kumwita Lowassa kiongozi wa mabadiliko. Dr Slaa ilimshinda hiyo. Hapo ni nani aliyesaliti? Ni hao waliokwenda nje ya misingi ya CHADEMA au waliosimamia misingi na kujiondoa? Kwa kiasi fulani Tindu Lissu alikuwa mkweli aliposema kuwa kwa sasa adui mkubwa wa CHADEMA ni CCM hivyo hata angepatikana shetani wa kuisaidia CHADEMA kuiondoa CCM wangemkaribisha. Hivyo Lowassa alikaribishwa kama shetani ambaye angeweza kuisaidia CHADEMA kuiondoa CCM madarakani. Sasa kwa hilo Dr. Slaa "hakuwa tayari kushirikiana na shetani".Dr Slaa Hana Laana itayoishika chadema hata siku moja Kwa sababu yeye aliondoka chadema Kwa njia Haramu baada ya kununuliwa na Membe Kwa dola milion 2 pesa za NIDA pamoja na zile za marehemu Gadafi ambazo Membe kazichimbia kwenye Handaki nyumbani kwake. Hakuna Laana hapo Slaa mwenyewe ni msariti hapo hapo ni mnafiki mkubwa maana yeye ndiye aliratibu kila kitu kisha akageuka baada ya kununuliwa na Membe.
Na umesahau slaa alikuwa ccm damu,akasaliti upadre,akasaliti fameliaDr. Slaa aliondoka CHADEMA kwa sababu yeye sio mnafiki. Asingeweza kukaa meza moja na mtu ambaye chama chake kilizunguka nchi nzima kuueleza umma kisahihi kabisa kuwa ndiye kiongozi wa mafisadi nchini. Kujifanya amesahau hayo na kuanza kumwona kama ni shujaa ambaye angeleta mabadiliko TZ roho yake ilikataa kwa sababu haina unafiki. Wenzake walipewa mapesa "wakabadilisha gear" na kuanza kumwita Lowassa kiongozi wa mabadiliko. Dr Slaa ilimshinda hiyo. Hapo ni nani aliyesaliti? Ni hao waliokwenda nje ya misingi ya CHADEMA au waliosimamia misingi na kujiondoa? Kwa kiasi fulani Tindu Lissu alikuwa mkweli aliposema kuwa kwa sasa adui mkubwa wa CHADEMA ni CCM hivyo hata angepatikana shetani wa kuisaidia CHADEMA kuiondoa CCM wangemkaribisha. Hivyo Lowassa alikaribishwa kama shetani ambaye angeweza kuisaidia CHADEMA kuiondoa CCM madarakani. Sasa kwa hilo Dr. Slaa "hakuwa tayari kushirikiana na shetani".
Kikwete alisema wale wote waliohama ccm watashughulikiwa,au umesahau mara hiiWanashughulikiwa Vipi? Si Demokrasia Hii? Ccm Waache Ujinga
Ni haki Yao kuhama kama walivyoitumia kuhamia huku tupapendapo.
We mbona unakoseaga pia