Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

Huenda ukawa sahihi ila sio sana kama hao kina Kitila ni wapinzani mbona bado wana vyeo vya uwaziri?...vipi kuhusu Prof Kabudi?
 
Nakubariana na hoja yako hao ni sukuma gang hata bavicha nao wanawashangaa hawa jamaa wametokea wapi
 
6. January Makamba huyu Kuna kundi la watu Zaid 20 wamemwagwa mtandaoni Kukabiliana naye

Number. Sita uongo January ndio amemwaga watu mitandaoni na Id mpya za kukutetea sisi hatumkubali kwa sababu Hana sifa ya Kua kiongozi na tupo hapa enzi na enzi tunakosoa panapofaa kukosolewa na kusifia penye kustaili sifa hatujatumwa na mtu na hatuna ID Mpya

January umetukana sana viongozi kwa account ya Kigogo including mama Samiha sijui kwa nini TISS hawajakuchukulia hatua
 
Mpiga ramli kazini. Magufuli na Samia waligombana lini?
 
Itoshe Kusema kwamba Push Gang era yao imeisha kama ilivyoisha career za kina Mike yeyote Jackson,Tyson,Jordan.

Push gang wapumzike kwa amani wakae kwa kutulia.
 
Eti Jennister leo yuko kwa Mana duuuuu unafiki huoooo
 
..hawakugombana lakini inaelekea ssh alikuwa hamkubali jpm.

..ona sasa hivi ameteua watu wangapi waliotumbuliwa na jpm.

..amebadili maamuzi mangapi aliyoyafanya jpm.

..nadiriki kusema ssh hakuwa mfuasi wala mshirika wa jpm.
Kwani Magufuli hakuwahi kuamua baadaye akabdili uamuzi wake? Hajawahi kutumbua baadaye akawarudisha haohao aliowatumbua? Acheni kupiga ramli chonganishi.
 
Naomba utambue hakuna anayeweza kupambana na kiongozi mkuu akiwa madarakani zaidi zaidi wanajichosha tu, hata watu wote ndani ya Chama wasipomuunga mkono bado atatoboa so long as yupo madarakani, pengine Hao wanaompinga hawajajua nguvu ya Rais
Mbona akina Jk waliweza kupambana na Mkapa leading to 2005 na wakashinda? Suala sio kuwa na nguvu tu bali kujua jinsi ya kuitumia.
 
Kwani Magufuli hakuwahi kuamua baadaye akabdili uamuzi wake? Hajawahi kutumbua baadaye akawarudisha haohao aliowatumbua? Acheni kupiga ramli chonganishi.

..kuna tofauti kati ya kubadili uamuzi wako mwenyewe, na uamuzi wako kubadilishwa na mtu mwingine.

..ssh kupindua uamuzi wa jpm inaonyesha kuupinga uamuzi huo.
 
..hawakugombana lakini inaelekea ssh alikuwa hamkubali jpm.

..ona sasa hivi ameteua watu wangapi waliotumbuliwa na jpm.

..amebadili maamuzi mangapi aliyoyafanya jpm.

..nadiriki kusema ssh hakuwa mfuasi wala mshirika wa jpm.
Kwani huyo kijora ni mTZ/ anapangua kila kitu alichopanga JPM hadi kuwarudisha kwenye mabodi watu waliothibitika kuwa wezi na wahumu uchumi,,,hana maana ni mtu wa maalimu Seif na kwa bahati mbaya katiba uchwara ndiyo iliyompa kijiti hivyo mazuzu mnaotaka katiba uchochoro isomeni hiyo ni bora rais akifa basi uchaguzi wa raisi peke yake in 90 days after funeral tosha siyo chaka la kumleta mtu aliyesoma sana kuliko wote Tanganyika,, Tundu Lissu aliyezaliwa na degree ya sheria bila kusoma na kumbe ati kasomea TZ std one hadi chuo mfyuu Someni majuu kama sisi huku mtihani hauvuji, hutizamii na kanguo kadogo wadada hawavui ili kupass,,,, rais msomi anakuja,,,mnaota saaaaana
 
Kuna Faida gani kuwa na Timu Magufuli, wakati Ameshakufa? Na hatafufuka

Uwaziri unagawanywa kwa Kanda, Samia anayo akili, hawezi kujaza watu wa Kanda Moja

Samia anatibu majeraha
 
Nakubariana na hoja yako hao ni sukuma gang hata bavicha nao wanawashangaa hawa jamaa wametokea wapi
Sukuma gang, wapinga pinga hawana agenda kwa sasa, wameshtuka mshtuko mkuu, yule mchato kutolewa uwaziri.

Agenda yao ya kumpinga Makamba haina mashiko wala nguvu, ni ka kumpiga chura teke, wanamuongezea mwendo tu.

Watulie tu wote tuzoee kusoma namba.

Everyday is Saturday................................😎
 
Kati ya mawaziri wamama ambao nawakubali hawajakaa kumpamba mtu nakujipendekeza ni Anjelister Mabula tu.Yeye hata akisimama anaenda kwenye hoja mojakwamoja.
Eti Jennister leo yuko kwa Mana duuuuu unafiki huoooo
 
Kuna Faida gani kuwa na Timu Magufuli, wakati Ameshakufa? Na hatafufuka

Uwaziri unagawanywa kwa Kanda, Samia anayo akili, hawezi kujaza watu wa Kanda Moja

Samia anatibu majeraha
Kwa kanda? Kwa hiyo Tanga kuwa na mawaziri 3 ni kigezo cha kanda ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…