Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

Uzi wa kimkakati kuja kumsafisha Makamba, timu ya mitandaoni kumchafua ya kazi gani wakati matendo na kauli zake ndizo zinamchafua mwenyewe, wacha usanii, hakuna uchafu unaochafuliwa.
 
ni Umasikini, Ujinga na maradhi, kama tukijikita kwenye kuwakabili hao maadui zetu,
Maadui ndio hao?

Huku ni kukariri kusikokuwa na maana! Miaka 60, bado unaamini hao ndio maadui wa nchi hii? Nikikuambia adui namba moja wa Tanzania sasa hivi ni CCM utakataa, kwa vile tu huko ndiko unakopatia maslahi yako?

Kama hao uliowataja ndio bado unaamini ndio maadui, watakuwa maadui kwa hisani ya CCM; kwa maana hiyo CCM ndiye adui mkubwa sana; kahodhi kila kitu, hataki hata wananchi wafanye maamuzi yao nani awe kiongozi wao.

Bado huoni/huamini "adui" ni nani"?
 
Man if you continue like this, you are losing your credibility! Huwa nakuamini Sana, Sasa gossiping za Nini? Let's credible news not ya midundiko, mitaani etc etc
 
"VITA VYA WANUFAIKA WA MIFUMO",PRESIDENT SAMIAH MUST PROGRAME FRESH TEAM,MAANA WAKO WATU WASIOJIFICHA KWA RAIS NI KIKWAZO CHA WAZI,PIA NAWASIFU KWA MOYO WANGU WOTE PM,VP HAWA THEY WORK HARD PURELY WITH MADAAM MUNGU AWABARIKI SANA,KATIKA UMEME SIJUI KUNA SHIDA GANI?,YULE TESHA APANDISHWE JUU/DARAJA HE KNOW IN AND OUT HOW TO SOLVE THIS.
N.b,Mfumo unapobadilika nenda nao usishupaze shingo utavunjika zama zimepita nchi imetulia woga umeondoka,vifo vya ajabu na ghafla vimeondoka labda vifo vilivyobakia Kwa sasa ni vya wivu wa mapenzi, nchi ni tulivu ikiwa na tumaini jema na jipya mipaka ipo salama,Thank you TPDF,Uchumi unakuwa uwekezaji unaongezeka what else...
!
 
Mkuu Maada yako ni njema sana kwa Mustakabali wa Maendeleo ya Nchi yetu.., Lakini naomba kufahamu hao wanaomuunga Mkono na wanaompinga huo Mchujo umefanyikaje hadi kuja na Orodha hiyo ya hayo Majina?

Pale unapomuuliza mtoto wa Darasa la sana aelezee swot analysis
 
Hapo ni waziri mmoja alitengwa na Magufuli, sasa anamshawishi mama ashushe mkeka ili apate nae.
Hata hivyo ubashiri wake ni feki.
Mfano moyo wa Jenister kuwa kundi Hangaya?
Du mkuu kweli wewe unajua jenista anamchukia mama ssh balaa namjua vzr
 
Alie muelewa jamani anijuze na mimi
 
Pambaneni kamanda mbowe ashinde kesi hii yote unayoiongelea ni sisiemu na itendelea kushika hatamu mpaka muache ugaidi...
 
Hadithi yako inatufundisha nini
Somo ni Bavicha na upinzani viko ICU, walidhani kwa samia itakua mteremko, alichofanya mama ni kuwapa mteremko akamwaga na mrenda ktk mteremko wamejikuta wametereza na kupitiliza hawajui uterezi unawapeleka wapi sasa...
Full kukanyagana!! Siasa za dizaini hii zilishagafeli kujaribu kuivuruga sisiemu kwa vijistori vya kijinga, hawajifunzi kitu bado...
Siasa ni sayansi mtindo huu sisiemu itakaa sana madarakani
 
Mkuu Freddie Matuja , kwanza asante kwa hoja hii, naunga mkono hoja asilimia 100% chini ya 100% na kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko lako hili kama mbegu ya kurutubisha bandiko langu fulani.
P
 
Halafu tangu lini Marehemu akawa na kundi, ili iweje kwanza? Nyie uaneni na loganeni kama ilivyo kawaida yenu, hivi safari hii mmepanga kumlisha sumu nani?
Angalizo:
HII ID IMEKUA HACKED, kilichoandikwa ktk comment hii kipuuze..
 
Kuna muda nafarijika jf bado kuna vichwa...
 
CHANZO SAHIHI

Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM.

Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika,

Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu.
Mkuu britanicca , CCM ni chama rasmi hivyo chanzo pekee cha uhakika cha habari za CCM ni kwenye ofisi za CCM, vikao, au viongozi gazzeted wa CCM.

Hiki chanzo cha ndani ya kihoteli cha Double K, hapo Dodoma, hakiwezi kuwa ni chanzo cha uhakika cha habari za CCM, unless unithibitishie kilikuwa ni kikao rasmi cha chama au jumuiya zake, vinginevyo inawezekana ni wana CCM wahuni individuals na mawazo na mitazamo yao hasi ya kihuni huni!. Ukisikia uongo, uzushi, fitna na majungu sasa ndio huu. Nashauri wana jf waandamizi kama wewe Mkuu britanicca , ukikutana na majungu ya type hii, yenye kuchafua majina ya watu, anaweza kuripoti kama hivi ila ilikubidi wewe ufanye self censorship kwa kutotaja hayo majina. Huku ni kuchafua watu kwa majungu kujenga fitna.

CCM kama chama, hakina mgogoro wowote wa ndani. Hakuna CCM JPM na CCM SSH. CCM chini ya SSH ni CCM ni moja as strong as ever ndani ya chama, nje ya chama, na kwenye uongozi wa Serikali.
P
 
Ifikie sehemu watu wakubali maisha yaendelee.

#Tumuunge mkono Mama.
 
Hadithi ya kutunga, kudhania, kuchonganisha, kufitinisha, ya uongo, lengo kupalaganyisha, wote wenye akili wataidharau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…