Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

Mimi naona Kuna wafu wapo mbinguni reception wanasubiri hukumu au wanasubiri wenzao Toka Duniani
TIMU JIWE;-
(1) John P MagufulI
(2) Kijazi
(3) Mfugale
(4) Kuandikwa


TIMU NYANYASWA
(1) Ben saa 8
(2) Azory gwanda
(3) Mawazo
(4)watanzania wote waliokufa kwa kufukuzwa kazi
Eg ;-
mkurugenzi manispaa ya Ilala
 
Watu wengi wakikaribia au kufikisha umri wa kustaafu huwa wanarudi CCM sijui kwa nini?!
 
Pole Mkuu. Hapo nyuma ulikuwa unailewa siasa siku hizi unatabili sana tu.
 
Mkuu Kalamu, msingi wa hoja yangu kuhusu maadui ni wale ambao walitajwa na mchonga JKN. Ila unaweza kuongeza kwenye list wa kwako na tunaweza kukubaliana kwa hoja.

Mathalani, Rushwa ni moja wa adui, ila anaweza kuwa kwenye tier 2 ya adui ambae bila shaka ujinga au umasikini weweza kumfanya adui rushwa nae akamea na kuota mizizi.
Kumbuka kuna waziri mmoja aliwahi kwenda UK kusaini mkataba hotelini, mhusika huenda akifaidika na kuondokana na umasikini yeye na familia yake, ila kansa anayoijenga bila shaka inazidi kuwastawisha umasikini katika jamii yetu.
Na ukitaka kujua rushwa ni kansa, hata chaguzi za vyama vya siasa ambavyo sio CCM, nako kitu kidogo lishakuwa jambo la kawaida, kitu ambacho sio sawa kwenye jamii yetu. Kuwalaumu CCM pekee wakati rushwa na ujinga na umasikini uu sehemu ya ukawaida hata kwenye vyama vya siasa ambavyo ni challenger wa CCM, sio kitu sawa.
 
Kwa ulichoandika na ulivyoandika hapa bila shaka hiyo Elimu yako ya majuu haina msaada kwako wala kwa Taifa. Ulisomea majuu wapi mkuu?,
 
Watu wanatetea tumbo zao hakuna cha hayo makundi...Kila mmoja anajitahidi kujionyesha kuwa afaa...Rais anawekwa kwenye wakati mgumu kisa tumbo zetu...Lets get serious, nchi hii inahitaji kufanya kazi kuijenga na siyo kutafuta nafasi ya kushambulia hata kidogo kilichotengenezwa...Heard me?
 
kwa mujibu wako mnamleta nani? kupitia chama kipi?
 
Huu uzi una taarifa feki 100%
Hapa nimejaribu kutumia akili za shule ya msingi. Nikitumia za chuo nitasema huu uzi una porojo
 
Man if you continue like this, you are losing your credibility! Huwa nakuamini Sana, Sasa gossiping za Nini? Let's credible news not ya midundiko, mitaani etc etc
Umechelewa sana kumjua rangi yake halisi. Hizo taarifa unazosema ulikuwa unampa credibility ukizichunguza utaona uliingia mkenge
 
Ulisoma ughaibuni? Ulisoma ufundi cherehani au kuosha vyombo, mbona mwandiko kama mdogo wangu wa darasa la sita
 
Mimi siwezi kuwalaumu hao wenye vyama vingine, kwa sababu siwajui, sijawahi hata siku moja wakaingilia maisha yangu. Ila najua CCM, hasa hii CCM ya miaka hii ya karibuni, hawa wameingilia kila aina ya maisha ya waTanzania, wawe wanachama wao au wa upinzani, au wasiwe wanachama au wapenzi wa chama chochote cha siasa, CCM ndiye mhusika. Kwa hiyo huwezi kumuondolea lawama, eti kwa sababu hata vyama vingine wanafanya kama afanyavyo CCM!
Na kwa nini usione muunganiko wa tabia za CCM katika kueneza hali hiyo mbovu kwenye hivyo vyama vingine!

Ni lini hivi vyama vingine vya siasa vilivuruga chaguzi kiasi cha kuwanyima wananchi haki zao za kuchagua viongozi wanaowataka wenyewe!
 
Issue ya UMEME na MAJI ni siasa iangaliwe vizuri haiendani na spirit ya ILANI YA UCHAGUZI YA CCM italeta shida 2025 siyo mbali. Wakati ni sasa rekebisha mambo haraka. Mgao hapana, Makamba it is not for political hygien. Mengine kuhusu makundi ni bra bra tu. Watu wanataka vitendo na matokeo chanya, makundi yataondoka yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…