Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

Hapo ni waziri mmoja alitengwa na Magufuli, sasa anamshawishi mama ashushe mkeka ili apate nae.
Hata hivyo ubashiri wake ni feki.
Mfano moyo wa Jenister kuwa kundi Hangaya?

Bi Tulia naye?
 
Let them kill eachother, after all they're animals.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni Magu damu.alianza kampeni Mbeya miaka 3 kabla huku sheria hairuhusu.Kaacha kwao kyela ila ccm wenye mbeya kimya

Mleta mada hajafanya homework yake vyema
 
Eti Kikwete hana upande,ndo uwezo wako wa kujua na kufikiri umeishia hapo?

Si aseme tu kama yuko.upande wa yule jamaa aliyetuharibia nchi?

Au hujasikia Zanzibar barabara zote zawekwa Lami?

Angalizo: wamesema wenyewe zote wala si kuu 😁😁!
 
Lazima umeme ukatike ili sisi wajanja tupate uhalali wa kuleta majenereta ili upigaji wa staili ya IPTL urudi tena!!!
 
Kivuli chake kinawatesa waliokuwa wafuasi wake. Ni kama hawaamini kwamba amekwisha lala usingizi wa milele.

Wanaume wawili wenye ushawishi mbele ya Samia, mumewe aliyemuoa tangu akiwa binti wa miaka 18 na JK aliyemtoa serikali ya mapinduzi akamleta kuwa bosi wa bunge maalum lakatiba, hao ndio anaowasikiliza siku zote.
 
Wanaoteseka NI wale wanaojaribu kufuta aliyoyafanya kwa nguvu zote ukiwa na mpango hauhitaji nguvu na muda mkubwa kutenda mema na yakaishi mfano Yesu alifanya kazi miaka michache Sana lakini mpaka Leo anaishi
 
Kumbe mama aliolewa akiwa bado mwali kabisa....
 
Wanaoteseka NI wale wanaojaribu kufuta aliyoyafanya kwa nguvu zote ukiwa na mpango hauhitaji nguvu na muda mkubwa kutenda mema na yakaishi mfano Yesu alifanya kazi miaka michache Sana lakini mpaka Leo anaishi
Doh.... Kwahiyo unataka kumlinganisha Yesu na mwendazake?

Laanakum
 
Kama kuna aliekuelewa endelea naye..
 
Halafu tangu lini Marehemu akawa na kundi, ili iweje kwanza? Nyie uaneni na loganeni kama ilivyo kawaida yenu, hivi safari hii mmepanga kumlisha sumu nani?
Hilo nalo neno! Wasije wakaji'poison' wenyewe kwa wenyewe! Maana muosha...!
 
Wee ovyo tu. Samia kiitikadi alikua sio sahihi kwa sera na itikadi ya ccm. Ma ngo yake yamemfanya kuamini falsafa ya magharibi ndio maana wanamapinduzi enzi ya magufuli wakawa hawampi uzito. Ona baada ya kuchukua nchi alivyoegemea kwa wafanya biashara na kuachia wapigaji hela ya umma kuiba. Anajidai kutoa machozi ya mamba huku kawapa fisadi ishara kwamba sasa wanaweza kuendelea na shughuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…