Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Habarini za asubuhi wakuu!
Ule mgogoro wa ardhi katikati ya Jiji la Mwanza mtaa wa Rwagasore kati ya Wananchi watano na mfanyabiashara nakumbuka walienda TAKUKURU baaae maafisa ardhi walihojiwa na DED Jiji aliondolewa kazini na mama lakini baadae Waziri Mkuu aliingilia kati na kumkabidhi mfanyabiashara ardhi kwa kuwa aliuziwa kihalali na Jiji.
Sasa majuzi RC kaenda site kazuia ujenzi kuwa mfanyabiashara hana uhalali wa kiwanja hicho, ina maana RC hatambui kuwa PM alishamaliza mgogoro na jamaa aliendelea na ujenzi tena kwa kupewa vibali na Jiji INA maana RC ana power zaidi ya PM?
Karibuni tujadili wakuu.
Pia soma: TAKUKURU Mwanza tupieni macho mgogoro wa ardhi wa Abubakar Self