Mgogoro wa KKKT Konde: Tatizo ni hela iliyoliwa na kundi la Askofu

Mgogoro wa KKKT Konde: Tatizo ni hela iliyoliwa na kundi la Askofu

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
Imebidi niingie chimbo kuchunguza mgogoro huu wa Dayosisi ya Konde.

Wazungu wanasema penye mgogoro usiotaka kuisha- FOLLOW THE MONEY!

Kiti cha Askofu kimeshindwa kurudishwa Tukuyu maana ofisi ya Tukuyu ilimokuwa Dayosisi imeuzwa au kupangishwa kwa milioni 200.

Ofisi wameuziwa au kupangishwa CRDB.

Hela hizo zimeliwa na wajanja ambao wamesepa kuenda Mbeya.

Sasa changamoto kiti kitarudi wapi!

Wanaotetea hadi macho kuwatoka ni wafaidika wa hela hizo, na hii ni fraud case.

Nawasilisha

Chanzo: nzi wa Tukuyu
 
Wafuate sheria, kanuni, taratibu na miongozo na alopangishwa au kuuziwa ahusishwe kuulizwa kapangisha au kauziwa na nani na washiriki wa majadiliano ni nani na contacts zao na malipo yalifanyika lini na kwa account ipi na hio account ichunguzwe pesa zimetolewa na nani na kwenda wapi na retirement/summary of expenditure ikoje. Hio pesa hata kugawana ni ndogo sana.
 
Wa proestanti rudini kanisa katoliki mkapige magoti kwa papa awape mwongozo kwa kuchagua vingozi na kuedesha kanisa. Uongozi wa kanisa ukichaguliwa kwa kampeni na kura kama viongozi wa siasa kamwe migogoro haiwezinkuisha.ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
Nani alikuambia Papa huwa anachagua viongozi.Dunia nzima anawajua yeye amekuwa malaika?
Mbona husemi wale walioshitakiwa kwa kulawiti watoto na Papa akakili
 
Nani alikuambia Papa huwa anachagua viongozi.Dunia nzima anawajua yeye amekuwa malaika?
Mbona husemi wale walioshitakiwa kwa kulawiti watoto na Papa akakili
Mimi nazungumzia migogoro ya kitaasisi wewe unaleta individual unproved allegations?
 
Mimi nazungumzia migogoro ya kitaasisi wewe unaleta individual unproved allegations?
Huko konde ni mgogolo wa mtu binafsi?
Hizo Mali na matumizi nje ya sheria ni individual?
Usiegemee kuwa makanisa fulani ni malaika kiuongozi huku wanaongoza binadamu.
 
Hivi Askofu Mwaikali anaweza kuiba hela kweli, nafikiraaaaa, narudia tena nawazaaaaa,
sipati jibu
 
Wa proestanti rudini kanisa katoliki mkapige magoti kwa papa awape mwongozo kwa kuchagua vingozi na kuedesha kanisa. Uongozi wa kanisa ukichaguliwa kwa kampeni na kura kama viongozi wa siasa kamwe migogoro haiwezinkuisha.ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
Hapo ndio nawaheshimu WaKatoliki na Canon Law, huwa hawaana migogoro ya kijinga jinga kama hii!
 
Hivi Askofu Mwaikali anaweza kuiba hela kweli, nafikiraaaaa, narudia tena nawazaaaaa,
sipati jibu
Yaani possibility ya hilo kutokea limetufedhehesha wengi.
Lakini ushauri wa kiuchunguzi ni FOLLOW THE MONEY!
 
Siku hizi KKKT imevamiwa na watu wenye tabia za kinabii na mitume.

Muda wote na mahali popote wao wanachungulia jinsi ya kuvuta hela kutoka kwa kondoo.
Hata sauti zao wakati wa kuhubiri wameanza kuiga mitume na manabii..kupayuka na kukoroma.

Hili kanisa linahitaji tena 'reformation', laa sivyo litakufa.
 
Wa proestanti rudini kanisa katoliki mkapige magoti kwa papa awape mwongozo kwa kuchagua vingozi na kuedesha kanisa. Uongozi wa kanisa ukichaguliwa kwa kampeni na kura kama viongozi wa siasa kamwe migogoro haiwezinkuisha.ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
uko sahihi mkuu....mie mlutheri but kuna vitu haviko sawa kabisa kwa hawa viongozi wetu....siku hizo wapo KIMAPATO ZAIDI....duh
 
uko sahihi mkuu....mie mlutheri but kuna vitu haviko sawa kabisa kwa hawa viongozi wetu....siku hizo wapo KIMAPATO ZAIDI....duh
Tatizo likitokea baya,lawama kwa Askofu.
Uozo upo kwa wajumbe wa vikao halali.Hawaazimii kumpinga Mwenyekiti kwenye hoja ya kichungaji wakiogopa kutengwa eti walimpinga Baba Askofu.
NB
Kanisa na vyama vya siasa tofauti zao ni sare na ilani
 
KKKT ya enzi za Kibira, Kolowa, Sendoro, Uhahula and the like haitakuja kutokea tena, hawa walimwogopa Mungu na kutambua uwepo wake kwa dhati, hakuna wa kuwafananisha nao hivi sasa.
Kipindi hicho mkuu wajinga walikuwa wengi na waumini wengi walikuwa wanamwabudu Mungu ktk roho na kweli na hata hao wachungaji uliowataja wakila hela waumini wanaona sawa tu kwamba mchungaji ni wa mungu hagusiki ila kizazi hiki kila mtu anaijua pesa kwa hiyo ndio maana inaleta shida
 
Tatizo likitokea baya,lawama kwa Askofu.
Uozo upo kwa wajumbe wa vikao halali.Hawaazimii kumpinga Mwenyekiti kwenye hoja ya kichungaji wakiogopa kutengwa eti walimpinga Baba Askofu.
NB
Kanisa na vyama vya siasa tofauti zao ni sare na ilani
Ultimately Askifu anabeba lawama zite, kama ilivyo sasa.
Huko Konde wale wachungaji ambao wanaonekana wamefaidika, wanatetea hali ya kuhamia Mbeya hadi mishipa inawatoka kichwani.

Na wanajua fika, uchunguzi ukifanyika watabeba lawama pamija na Askofu.
 
Back
Top Bottom