masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Ingekua busara walazimishwe kujiuzulu mfano ValentinoTukuyu upangishe kwa mil 200? Impossible, labda useme imeuzwa.
Ni kweli, pengine Askofu and Co. wameuza, sasa ni kama wamemeza fundo, kutema au kumeza wanashindwa.Tukuyu upangishe kwa mil 200?Impossible,labda useme imeuzwa.
Possible,si mkataba wa mda mrefu.Tukuyu upangishe kwa mil 200? Impossible, labda useme imeuzwa.
Nani alikuambia Papa huwa anachagua viongozi.Dunia nzima anawajua yeye amekuwa malaika?Wa proestanti rudini kanisa katoliki mkapige magoti kwa papa awape mwongozo kwa kuchagua vingozi na kuedesha kanisa. Uongozi wa kanisa ukichaguliwa kwa kampeni na kura kama viongozi wa siasa kamwe migogoro haiwezinkuisha.ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
Mimi nazungumzia migogoro ya kitaasisi wewe unaleta individual unproved allegations?Nani alikuambia Papa huwa anachagua viongozi.Dunia nzima anawajua yeye amekuwa malaika?
Mbona husemi wale walioshitakiwa kwa kulawiti watoto na Papa akakili
Huko konde ni mgogolo wa mtu binafsi?Mimi nazungumzia migogoro ya kitaasisi wewe unaleta individual unproved allegations?
Hapo ndio nawaheshimu WaKatoliki na Canon Law, huwa hawaana migogoro ya kijinga jinga kama hii!Wa proestanti rudini kanisa katoliki mkapige magoti kwa papa awape mwongozo kwa kuchagua vingozi na kuedesha kanisa. Uongozi wa kanisa ukichaguliwa kwa kampeni na kura kama viongozi wa siasa kamwe migogoro haiwezinkuisha.ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
Yaani possibility ya hilo kutokea limetufedhehesha wengi.Hivi Askofu Mwaikali anaweza kuiba hela kweli, nafikiraaaaa, narudia tena nawazaaaaa,
sipati jibu
uko sahihi mkuu....mie mlutheri but kuna vitu haviko sawa kabisa kwa hawa viongozi wetu....siku hizo wapo KIMAPATO ZAIDI....duhWa proestanti rudini kanisa katoliki mkapige magoti kwa papa awape mwongozo kwa kuchagua vingozi na kuedesha kanisa. Uongozi wa kanisa ukichaguliwa kwa kampeni na kura kama viongozi wa siasa kamwe migogoro haiwezinkuisha.ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
Tatizo likitokea baya,lawama kwa Askofu.uko sahihi mkuu....mie mlutheri but kuna vitu haviko sawa kabisa kwa hawa viongozi wetu....siku hizo wapo KIMAPATO ZAIDI....duh
Kipindi hicho mkuu wajinga walikuwa wengi na waumini wengi walikuwa wanamwabudu Mungu ktk roho na kweli na hata hao wachungaji uliowataja wakila hela waumini wanaona sawa tu kwamba mchungaji ni wa mungu hagusiki ila kizazi hiki kila mtu anaijua pesa kwa hiyo ndio maana inaleta shidaKKKT ya enzi za Kibira, Kolowa, Sendoro, Uhahula and the like haitakuja kutokea tena, hawa walimwogopa Mungu na kutambua uwepo wake kwa dhati, hakuna wa kuwafananisha nao hivi sasa.
Ultimately Askifu anabeba lawama zite, kama ilivyo sasa.Tatizo likitokea baya,lawama kwa Askofu.
Uozo upo kwa wajumbe wa vikao halali.Hawaazimii kumpinga Mwenyekiti kwenye hoja ya kichungaji wakiogopa kutengwa eti walimpinga Baba Askofu.
NB
Kanisa na vyama vya siasa tofauti zao ni sare na ilani