yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Kuna mengi yapo Chini ya zuria,kuna siku inakuja,tena ni siku isiyo na jina,hata kupigwa risasi kwa lissu,kutakuja kujulikana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.
Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.
Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.
Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".
Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.
My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.
Uongo mtupu, ujinga kama ujinga mwingine ambao umesambazwa dhidi ya Chadema kwa miaka 30 ya kuwepo kwakeWengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.

Wewe nyamaza wanaume waseme. Ukiacha matusi yako humu JF mchango wako kwa CHADEMA ni zero hunahata kovu la vichapo vya polisiHaikusaidii lolote, Hilo limefeli tafuta lingine. Bladifaken bastard haikusaidii
Miafrika inajua madaraka ni kuiibia nchi badala ya kuijenga
Wote wanaotamani madaraka ya juu sio kuwa wana nia njema na masikini bali wana nia njema na matajiri tu
Ndugu wa "MAREHEMU" hivi mshamaliza kugawana zile kaunda "MTHUTI"?Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.
Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.
Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.
Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".
Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.
My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.
Kwahiyo kuruhusu mikutano imekuja na wingu la JupiterWengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.
Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.
Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.
Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".
Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.
My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.
Siku ya leo umekunywa chai kweli?Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.
Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.
Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.
Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".
Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.
My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.
Huu uharo afadhali umekunya ungekuua kwa kutokea kinywani! Harufu mbaya kweli kweli. Watu ni majasiri kuhara mbele ya kadamnasi pole weeWengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.
Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.
Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.
Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".
Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.
My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.
Kupigwa risasi Lissu ni yule dhalim aliyeko motoni sasa hiviKuna mengi yapo Chini ya zuria,kuna siku inakuja,tena ni siku isiyo na jina,hata kupigwa risasi kwa lissu,kutakuja kujulikana,
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wewe nawe koma kutuita waafrika na kutumia hilo neno ulilo tumia!
Nenda kawaite family yako na wanao lakini sio sisi!
Unasikia we mwanamlaaniwa
Yaani koma [emoji35]
Huu mchezo unachezeshwa na wasioitakia mema Tanzania.Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.
Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.
Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.
Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".
Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.
My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.
AstaghfirullahWewe nawe koma kutuita waafrika na kutumia hilo neno ulilo tumia!
Nenda kawaite family yako na wanao lakini sio sisi!
Unasikia we mwanamlaaniwa
Yaani koma [emoji35]
Chawa wake wanadai akitoka chama kitapigwa mnada.Hivi kweli ndani ya CHADEMA hakuna mbadala kwa Bwana Mbowe, au ndiyo yale-yale ya sisi wengi ndani ya CHADEMA tumamua Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti ???