mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
-
- #21
Sishangilii Bali Nina hasira Kali dhidi ya uonevu wa mabeberu!! Adui mkubwa wa Ukraine ni marekani na Nato kwa ujumla ambao wamemrubuni Ukraine akaingia mkenge akidhanu watamkingia kifua kitu ambacho hawawezi kuthubutu!! Walichotakamabeberu ni:Kwa hiyo kamanda unashangilia Ukraine kushambuliwa na dikteta uchwara PUTIN?
Nikuulize swali, Marekani alivamia Afghanistan kupigana na Taliban kwa miaka mingapi? na je alishinda vita? Si kakimbia mwenyewe Kama mwanamke na kawaachia Taliban Nchi Yao!!Siku ya 21 vita bado mbichi.
Urusi anaweza kupigwa hata na Rwanda!
Wewe inakuuma nini?Kwa hiyo kamanda unashangilia Ukraine kushambuliwa na dikteta uchwara PUTIN?
Russia na Ukraine wanashare mpaka, uwe unaelewa bwashee!Nikuulize swali, Marekani alivamia Afghanistan kupigana na Taliban kwa miaka mingapi? na je alishinda vita? Si kakimbia mwenyewe Kama mwanamke na kawaachia Taliban Nchi Yao!!
Marekani na wenzake alivamia Iraq alichukua miaka mingapi kuwashinda wafuasi wa Sadam Hussein ambao mwisho wa siku walijiita ISIS!!
Mashambulizi ya Marekani yalikuwa yanatokea Kuwait wanaoshea mpaka na Q wa Iraq. Pia Marekani Wana vituo vyao vya kijeshi huko Kuwait!! Kwa hiyo walikuwa wanaoshea mpaka pia!!Russia na Ukraine wanashare mpaka, uwe unaelewa bwashee!
Hiyo vita ilikuwa iishe ndani ya 48 hrs.
Russia ataonewa sana huko mbeleni hata na wahindi wala dengu.
Yani kifaru kipakiwe kwenye ndege ya abiria na viwanja vya kiraia? Au shehena ya grenade?
Kwamba hizo nchi za ulaya hazina ndege za kijeshi za mizigo?
Kabla ya kusema lolote lazima ujue hii vita ina propaganda 70%,hivyo lazima uwe na uwezo mzuri wa kuchekecha upate uhalisia
Nchi za ulaya zikiamua kutuma silaha zinatuma wazi wazi kwa kutumia Mifumo ya kijeshi kupitia Poland na wameshafanya hivyo.
Hii inayosemwa hapa ni chai ya mrusi iliyojaa vodka
[/QUO
Propaganda Toka Italia?? Ingekuwa ni mgomo wa wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Nchi Kama china ningeelewa! Soma vizuri hiyo habari niliyonukuu!!
Yaani huoni tofauti kabisa?Mashambulizi ya Marekani yalikuwa yanatokea Kuwait wanaoshea mpaka na Q wa Iraq. Pia Marekani Wana vituo vyao vya kijeshi huko Kuwait!! Kwa hiyo walikuwa wanaoshea mpaka pia!!
Silaha walizikuwa wa
Tukio Hilo nililolinukuu ni kutokea Italia! Je Italia unadhani wanampigia Putin propaganda? Aliyesema wanapandisha vifaru ni nani?Yani kifaru kipakiwe kwenye ndege ya abiria na viwanja vya kiraia? Au shehena ya grenade?
Kwamba hizo nchi za ulaya hazina ndege za kijeshi za mizigo?
Kabla ya kusema lolote lazima ujue hii vita ina propaganda 70%,hivyo lazima uwe na uwezo mzuri wa kuchekecha upate uhalisia
Nchi za ulaya zikiamua kutuma silaha zinatuma wazi wazi kwa kutumia Mifumo ya kijeshi kupitia Poland na wameshafanya hivyo.
Hii inayosemwa hapa ni chai ya mrusi iliyojaa vodka
Kwa hiyo ww unasimama na madikteta?Wewe inakuuma nini?
Ni Nani amekwa bia Putin ni dikteta??? Hebu tueleze hapa maana ya neno dikteta?Kwa hiyo kamanda unashangilia Ukraine kushambuliwa na dikteta uchwara PUTIN?
NduguNi Nani amekwa bia Putin ni dikteta??? Hebu tueleze hapa maana ya neno dikteta?
Malkia Elizabeth ambaye ni Head of State amekuwepo madarakani huko Uingereza kwa muda gani? Umeenda Uingereza na Marekani ukapata orodha ya wafungwa kwa kisingizio Cha ugaidi?Ndugu
Putin ameng'ang'ania madarakani kwa miaka 30 sasa.Kafanikiwa vipi ? Kwa kuuwa na kufunga wapinzani
1.Alexei Navalny - huyu ni KUB pale moscow.Kwa sasa anatumia kifungo cha miaka 15 kwa uhujumu uchumi
2.Sergei Yushenkov- mpinzani aliyeuwawa 2003
3.Yuri Schehekochikhin- mpinzani aliyeuwaww kwa sumu mwaka 2003
4.Boris Nemtov ‐ aliuwawa kwa kumiminiwa risasi mchana kweupe kama Lissu mwaka 2015
5.BorisNemtsov kauwawa 2009
6.Stanslaus Merkelov - alipigwa risasi ya kichwa na Putin
7.Anastia Baburora - alinyongwa na Putin
8.Natalia Estemirova - risasi za kichwa mwaka 2099
9.Anna Politkovskaya-shot dead in 2006
Je umenielewa???
Ndugu

Kweli shule ni tatizo.Malkia Elizabeth ambaye ni Head of State amekuwepo madarakani huko Uingereza kwa muda gani? Umeenda Uingereza na Marekani ukapata orodha ya wafungwa kwa kisingizio Cha ugaidi?
kwa hiyo unaunga mkono mauaji ya Lissu ?Hao walikubali kutumiwa na mabeberu na kuisaliti Urusi! Hatima ya msaliti Kila mmoja anaifahamu!!