mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
- #21
Sishangilii Bali Nina hasira Kali dhidi ya uonevu wa mabeberu!! Adui mkubwa wa Ukraine ni marekani na Nato kwa ujumla ambao wamemrubuni Ukraine akaingia mkenge akidhanu watamkingia kifua kitu ambacho hawawezi kuthubutu!! Walichotakamabeberu ni:Kwa hiyo kamanda unashangilia Ukraine kushambuliwa na dikteta uchwara PUTIN?
1. Kupata soko la kuuzia silaha zao.
2. Kupata nafasi ya kufanya majaribio silaha zao dhidi ya zile za Urusi.
3. Kutumia nafasi hiyokuidhoofisha Urusi kiuchumi kwa njia ya vikwazo vya kiuchumi!
Kwa hiyo Ukraine anatumika tu Kama toilet paper ambayo hugeuka ya muhimu Sana kwa mtu anapokuwa kwenye chumba hicho Cha faragha. Lakini akishatoka huko hataki kusikia hata jina lake!
Ukraine Inavuna ilichokipanda!!