Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

Kwa hiyo kamanda unashangilia Ukraine kushambuliwa na dikteta uchwara PUTIN?
Sishangilii Bali Nina hasira Kali dhidi ya uonevu wa mabeberu!! Adui mkubwa wa Ukraine ni marekani na Nato kwa ujumla ambao wamemrubuni Ukraine akaingia mkenge akidhanu watamkingia kifua kitu ambacho hawawezi kuthubutu!! Walichotakamabeberu ni:
1. Kupata soko la kuuzia silaha zao.
2. Kupata nafasi ya kufanya majaribio silaha zao dhidi ya zile za Urusi.
3. Kutumia nafasi hiyokuidhoofisha Urusi kiuchumi kwa njia ya vikwazo vya kiuchumi!
Kwa hiyo Ukraine anatumika tu Kama toilet paper ambayo hugeuka ya muhimu Sana kwa mtu anapokuwa kwenye chumba hicho Cha faragha. Lakini akishatoka huko hataki kusikia hata jina lake!
Ukraine Inavuna ilichokipanda!!
 
Siku ya 21 vita bado mbichi.

Urusi anaweza kupigwa hata na Rwanda!
Nikuulize swali, Marekani alivamia Afghanistan kupigana na Taliban kwa miaka mingapi? na je alishinda vita? Si kakimbia mwenyewe Kama mwanamke na kawaachia Taliban Nchi Yao!!
Marekani na wenzake alivamia Iraq alichukua miaka mingapi kuwashinda wafuasi wa Sadam Hussein ambao mwisho wa siku walijiita ISIS!!
 
Yani kifaru kipakiwe kwenye ndege ya abiria na viwanja vya kiraia? Au shehena ya grenade?
Kwamba hizo nchi za ulaya hazina ndege za kijeshi za mizigo?
Kabla ya kusema lolote lazima ujue hii vita ina propaganda 70%,hivyo lazima uwe na uwezo mzuri wa kuchekecha upate uhalisia
Nchi za ulaya zikiamua kutuma silaha zinatuma wazi wazi kwa kutumia Mifumo ya kijeshi kupitia Poland na wameshafanya hivyo.
Hii inayosemwa hapa ni chai ya mrusi iliyojaa vodka
 
Russia na Ukraine wanashare mpaka, uwe unaelewa bwashee!

Hiyo vita ilikuwa iishe ndani ya 48 hrs.

Russia ataonewa sana huko mbeleni hata na wahindi wala dengu.
 
Mashambulizi ya Marekani yalikuwa yanatokea Kuwait wanaoshea mpaka na Q wa Iraq. Pia Marekani Wana vituo vyao vya kijeshi huko Kuwait!! Kwa hiyo walikuwa wanaoshea mpaka pia!!
 
Silaha walizikuwa wa
Yani kifaru kipakiwe kwenye ndege ya abiria na viwanja vya kiraia? Au shehena ya grenade?
Kwamba hizo nchi za ulaya hazina ndege za kijeshi za mizigo?
Kabla ya kusema lolote lazima ujue hii vita ina propaganda 70%,hivyo lazima uwe na uwezo mzuri wa kuchekecha upate uhalisia
Nchi za ulaya zikiamua kutuma silaha zinatuma wazi wazi kwa kutumia Mifumo ya kijeshi kupitia Poland na wameshafanya hivyo.
Hii inayosemwa hapa ni chai ya mrusi iliyojaa vodka
[/QUO
Propaganda Toka Italia?? Ingekuwa ni mgomo wa wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Nchi Kama china ningeelewa! Soma vizuri hiyo habari niliyonukuu!!
 
Mashambulizi ya Marekani yalikuwa yanatokea Kuwait wanaoshea mpaka na Q wa Iraq. Pia Marekani Wana vituo vyao vya kijeshi huko Kuwait!! Kwa hiyo walikuwa wanaoshea mpaka pia!!
Yaani huoni tofauti kabisa?

Tuishie hapo bwashee.
 
Silaha walizikuwa wa
Yani kifaru kipakiwe kwenye ndege ya abiria na viwanja vya kiraia? Au shehena ya grenade?
Kwamba hizo nchi za ulaya hazina ndege za kijeshi za mizigo?
Kabla ya kusema lolote lazima ujue hii vita ina propaganda 70%,hivyo lazima uwe na uwezo mzuri wa kuchekecha upate uhalisia
Nchi za ulaya zikiamua kutuma silaha zinatuma wazi wazi kwa kutumia Mifumo ya kijeshi kupitia Poland na wameshafanya hivyo.
Hii inayosemwa hapa ni chai ya mrusi iliyojaa vodka
Tukio Hilo nililolinukuu ni kutokea Italia! Je Italia unadhani wanampigia Putin propaganda? Aliyesema wanapandisha vifaru ni nani?
Huwezi kujifanya unapandisha misaada ya kibinadamu ya chakula na madawa halafu utumie ndege ya kijeshi na viwanja vya ndege vya kijeshi. Ndiyo maana waliamua kutumia viwanja vya ndege vya kiraia.
 
Na misaada mingi ya kibinadamu inayoenda huko ni silaha wala hawana nia nzuri ya kumaliza vita kwa amani nimeona hii habari
 
Ni Nani amekwa bia Putin ni dikteta??? Hebu tueleze hapa maana ya neno dikteta?
Ndugu

Putin ameng'ang'ania madarakani kwa miaka 30 sasa.Kafanikiwa vipi ? Kwa kuuwa na kufunga wapinzani

1.Alexei Navalny - huyu ni KUB pale moscow.Kwa sasa anatumia kifungo cha miaka 15 kwa uhujumu uchumi.Akiwa jela Putin alitaka kumuuwa kwa sumu kali ya Novichok nerve agent

2.Sergei Yushenkov- alimiminiwa risasi akiwa nyumbani kwake tarehe 17 April 2003 masaa machache baada ya kusajili chama chake cha upinzani

3.Yuri Schehekochikhin- mwandishi wa habari aliyeuwawaw kwa sumu mwaka 2003 baada ya luchunguza mauaji aliyofanya Putin

4.Boris Nemtov ‐mpinzani wa Putin aliuwawa kwa kumiminiwa risasi mchana kweupe kama Lissu mwaka 2015

5.Stanislav Merkelov -Mwanasheria wa haki za binadamu alipigwa risasi ya kichwa na Putin

7.Anastia Baburora - Mke wa Stanislav Merkrlov alipigwa risasi ya kichwa na Putin

8.Natalia Estemirova - mwanasheria wa haki za binadamu alipigwa risasi za kichwa mwaka 2009

9.Anna Politkovskaya-shot dead akiwa katika lift ya nyumbani kwake mwaka 2006 sababu y akumpinga Putin

Je umenielewa???
 
Ndugu

Putin ameng'ang'ania madarakani kwa miaka 30 sasa.Kafanikiwa vipi ? Kwa kuuwa na kufunga wapinzani

1.Alexei Navalny - huyu ni KUB pale moscow.Kwa sasa anatumia kifungo cha miaka 15 kwa uhujumu uchumi

2.Sergei Yushenkov- mpinzani aliyeuwawa 2003

3.Yuri Schehekochikhin- mpinzani aliyeuwaww kwa sumu mwaka 2003

4.Boris Nemtov ‐ aliuwawa kwa kumiminiwa risasi mchana kweupe kama Lissu mwaka 2015

5.BorisNemtsov kauwawa 2009

6.Stanslaus Merkelov - alipigwa risasi ya kichwa na Putin

7.Anastia Baburora - alinyongwa na Putin

8.Natalia Estemirova - risasi za kichwa mwaka 2099

9.Anna Politkovskaya-shot dead in 2006

Je umenielewa???
Malkia Elizabeth ambaye ni Head of State amekuwepo madarakani huko Uingereza kwa muda gani? Umeenda Uingereza na Marekani ukapata orodha ya wafungwa kwa kisingizio Cha ugaidi?
 
Ndugu

Putin ameng'ang'ania madarakani kwa miaka 30 sasa.Kafanikiwa vipi ? Kwa kuuwa na kufunga wapinzani

1.Alexei Navalny - huyu ni KUB pale moscow.Kwa sasa anatumia kifungo cha miaka 15 kwa uhujumu uchumi

2.Sergei Yushenkov- mpinzani aliyeuwawa 2003

3.Yuri Schehekochikhin- mpinzani aliyeuwaww kwa sumu mwaka 2003

4.Boris Nemtov ‐ aliuwawa kwa kumiminiwa risasi mchana kweupe kama Lissu mwaka 2015

5.BorisNemtsov kauwawa 2009

6.Stanslaus Merkelov - alipigwa risasi ya kichwa na Putin

7.Anastia Baburora - alinyongwa na Putin

8.Natalia Estemirova - risasi za kichwa mwaka 2099

9.Anna Politkovskaya-shot dead in 2006

Je umenielewa???

Hao walikubali kutumiwa na mabeberu na kuisaliti Urusi! Hatima ya msaliti Kila mmoja anaifahamu!!
 
Back
Top Bottom