jamani msijifariji? nani anaweza kuwa mgombea binafsi na kushinda tanzania?????????? hizi sio zile wanazoita ndoto za mchana?????????? wananchi wa tanzania uelewa wao ni mdogo sana hatujafikia level hiyo wakuu, angalia tu kamati ya mwakyembe na kuchonga koooooote kule kumbe hakuna kitu!!!!!!!!!!! tuendelee kujenga demokrasia taratibu, tutafika tu..............
Kama ni ndoto mkuu waambie Chama Cha Majambazi waruhusu uone moto.
hilo labda 2015 linaweza kuzungumzika ...........
Masikini yule jamaa aliyejitangaza hapa jana kama mgombea binafsi wa Moshi Vijijini,sijui itakuwaje kwake..itabidi atafute tu chama mapema.
Tofauti ya sasa na hiyo 2015 ni nini kulindana?
pole zake, halafu inaonekana hafai hata kuwa mwansiasa kwani kashindwa kusoma alama nyepesi hivi ya wakati!!!!!!!!!!!!!!!! mmmmmhh
Jamani,kwanini unasema hajasoma alama za nyakati?
hata hiyo 2015 ni uwezekano wa kuzungumzwa tu, utekelezaji wake unaweza kuchukua hata miaka 50 ijayo.
hapa usiwalaumu CCM, tujilaumu wananchi kwa kasi ya konokono katika kuielewa na kuizoea demokrasia ya vyama vingi................
nilishatangaza hapa kugombea moshi vijijini kama mgombea binafsi nitafanya hivyo wakati wa kuchukua fomu, nitaichukua tume ya uchaguzi, na hakuna wa kunizuia kwa kuwa mahakama imeshaamua huo mchakacho wa kubadilisha katiba watauleta wenyewe mahakamani pindi tutakapoanza kukurupushana
Chama Cha Majambazi hawawezi kukubali mgombea binafsi kwa sababu wakifanya hivyo wanafahamu tonge limeshatoka kinywani.
AK
Sijakuona unakuja na hoja zaidi ya kupayuka obvious mara ndoto za alinacha tuambie hizo ndoto zitatokana na sababu zipi kama ni mahakama kuu au mahakama ya rufaa sema kama ni serikali kuzuia kwa mabavu sema unaposhupalia obvious obvious bila kutoa sababu utaonekana kichaa