Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Kwahio tususie uchaguzi??
 
Mataga vichwa vinauma Muujiza unaotembea Ni yeye kuchukua form!! Mataga walijua atanyimwa hahahaaa sasa Mataga wanawaza jina litatenguliwa kisha atapitishwa tena mataga watawaza hatoshinda and then what?? Mwamba anampa za usoJIWE oct 2020.
 

Lingetokea nini wewe,nyie ndiyo wanga.

Naona vima yanagonga pichu.

Go Lissu...Go Lissu..
 
Ili nalo neno

SUBIRI KIDOGO
 
Mbona wao wanaita wenzao shithole au manyani na hulalamiki au ndio kunya anye kuku.....
 
Mwaka huu CCM hawashindi. Tutafanya kampeni ya kufa na kupona kuwaelimisha wananchi kuwa CCM haifai na tutawaeleza vizuri wachague Chama sahihi na chenye Sera sahihi na watu sahihi Chadema ili waweze pata maendeleo ya kweli.
Kwani 2015 walishinda? Tatizo ni kutangazwa
 
Lingetokea nini wewe,nyie ndiyo wanga.

Naona vima yanagonga pichu.

Go Lissu...Go Lissu..
We ndio mbutika kweli hivi ata umeangalia vyama vingine walivyochukua form?

Wote makatibu zao walikuwa wanapewa hati wanairudisha meza kuu na kuwatambulisha wagombea zao wanasimama kwenda kuchukua form; kuanzia CCM mpaka UDP.

Yaani kuna rituals kadhaa imebidi zisifuatwe kukosekana kwa katibu wa CDM ili tu watoke umo ndani. Hizi tabia za kujifanya wajuaji ndio zinawaleteaga shida.

Wameshaambiwa wanapewa siku tatu za kusaidiwa kabla ya kurudisha rasmi form NEC wanaweza kwenda kuonyesha form zao kama kuna mapungufu yoyote ya ujazaji waambiwe mapema kasoro zilipo, wakarekebishe ndio warudishe hakuna lengo la kuzuia mtu kisa makosa ya kujaza form.

Bado tu Tundu Lissu hana imani anataka afungue mkarabasha kuakiki kama kila kitu kimo na kupotezea watu muda hiki chama sijui kina matatizo gani. Kuwa mfuasi wa CDM lazima kuna kitu wafuasi wake wanatumia sio bure wao ghasia tu.
 
Mkuu katika vitu Magufuli amefanikiwa ndani ya hii miaka mitano, ni kutengeneza wanafiki, waoga na wajinga wengi. Na yote haya ni kwasababu anajenga reli na bwawa la umeme.
Mkuu October uwe mvumilivu
 
Shabbash jamaa upande ule anaharisha yale mavi membamba membamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…