Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Mkuu acha propaganda yaani leo mmeoga aibu ya kufunga mwaka nimeona masafara akiwa kwenye gari la wazi hakuna mtu mwenye muda naye yaani watu wako busy nashuguli zao tofauti na tulivyoaminishwa Jana kwa Jiji la Dodoma linaenda kutikiswa.
 
Huu uongo bado haukupi farijiko la moyo tafuta mwingine.
 
I wish mgombea wake mwenza angekua yule Dokta Mwanamke aliyetia nia mapema kabisa kugombea hiyo nafasi kupitia hicho chama chake cha Chadema.

Naona huyo Salum Mwalimu kama hana mvuto vile!! Ni maoni yangu tu hivyo 'Makamanda' nawaomba sana msinielewe vibaya. Mimi ni Mtanzania tu Mzalendo. Sina chama.
 
Bado hatua muhimu ya kuteuliwa na tune ya uchaguzi ambayo wataifanya tarehe 25/08/2020.

Kupewa form haimaanishi sasa tayari unagombea, tuwe wavumilivu tusubirie tarehe hiyo tume ya taifa ya uchaguzi watupe wagombea kwa vyama vyote vilivyochukua form za kuomba kugombea.

Hii ni atua nzuri lakini msijisahau.
 
Chadema ya mitandaoni.
Kuna tatizo mahali...mitandaoni cdm kinatoa mwanga na matumaini ya ushindi.

Kwenye kura sasa! Kila mtu na analolijua moyoni mwake.
Sijui upinzani unafeli wapi.
 
Chadema wana hali mbaya awamu hii CCM itaibuka na ushindi mkubwa mno tofouti na matarajio ya wengi maana kila kitu kipo wazi..

Ushindi ni mweupe kwa CCM
Mbowe alipima upepo akaamua kumuachia aibu hilo Lissu.

Lisu pia anafahamu hilo ila anatengeneza CV tu.

Chadema itaambulia aibu kwa maeneo mengi sana.
 
Mkuu acha propaganda yaani leo mmeoga aibu ya kufunga mwaka nimeona masafara akiwa kwenye gari la wazi hakuna mtu mwenye muda naye yaani watu wako busy nashuguli zao tofauti na tulivyoaminishwa Jana kwa Jiji la Dodoma linaenda kutikiswa.
Mkuu hata mimi nimeona mpaka nikashangaa kwamba huku ni kuzizima ama kuzima.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mbowe alipima upepo akaamua kumuachia aibu hilo lisu.

Lisu pia anafahamu hilo ila anatengeneza CV tu.

Chadema itaambulia aibu kwa maeneo mengi sana.

Ataingia katika rekodi ya kugombea urais mwaka 2020 nadhani CV yake itakuwa imeongeza kitu...
 
Ni shida ndugu yangu. Chini ya CCM hakuna tuliloweza kuliendesha kwa ufanisi. Kupanga makazi yetu tu na miji yetu imekuwa shida kila sehemu mitaa ya hovyo na uchafu tu. Chama kilichoshindwa hata kusimamia tu watu wajenge kwa ustaarabu na miji yetu na makazi yetu yapendeze leo hii wanasema eti wao tu ndo wanaweza kuongoza hii nchi. Ni aibu sana.

Nimejifunza kitu kuwa nikiona mtu anashabikia CCM basi uwa ninatia mashaka sana uelewa wake wa mambo
Kwa kweli hilo la kupanga miji, linanishangaza kila nikimwona Lukuvi na kiki za kukesha ofsini akishughulikia kesi za ardhi, lakini anashindwa kuweka mipango bora ya upimaji makazi katika halimashauri zetu. Hapo ndo nachoka kabisa kuwa bongo hii haina planners ila inaendeshwa bora liende. Tunasubiri hadi wahisani watufadhili kuboresha miji na majiji yetu.

Huwezi amini, chukua tu mfano wa jiji kongwe la Dar- es- salaam, na squatters zake, kipindupindu na mafuriko kila mwaka. Utajiuliza hivi kweli tuna master plan ya miji na majiji yetu? Je tunayo kweli wizara ya ardhi na makazi?
 
Chadema wana hali mbaya awamu hii CCM itaibuka na ushindi mkubwa mno tofouti na matarajio ya wengi maana kila kitu kipo wazi..

Ushindi ni mweupe kwa CCM
Yaani logically tu

Inahitajika nguvu kubwa sana ku discredit efforts za Magufuli,

Nguvu hiyo ambayo haionekani kuwepo, sijui utawaambia nini wananchi wa kawaida kabisa ambao ni wapiga kura wengi kumhusu Magufuli.

Mimi ningekuwa huko upinzani ningeamua kubakia na nafasi za ubunge tu ila kwa Urais kumtoa jamaa ni kujidanganya tu
 
Licha kwamba Leo ni siku ya mapumziko, mapokezi menyewe ndio hayo??

Somo la kuinanga nchi Yetu na kuisema vibaya huko ughaibuni, Litamwelimisha yeye mkufunzi!

Ndoa nyingi huvunjika Kwa sababu ya wanandoa kutangaziana udhaifu Wao nje, mmoja akisikia Tu, ndoa kwaheri

Tutaanzaje Sisi Watanzania kumpa Uraisi mtu aliye tutangaza vibaya huko nje, na juzi tu kule Kenya kasema uwongo juu Yetu?

Jamani, Watanzania Sisi ni wa bei ya juuu Kwa sasa, hata Beberu anajua
 
Kwanza alivaa barakoa?
 
Nipo Dodoma kiukweli tuache unafiki Lissu ni Raisi ajaye kama haya ninayoona kwa wagogo wenzangu sio unafiki..
 
Mkipata mbunge hata mmoja, mutakua mumejitahidi sana. Mhe rais Magufuli ameahidi uchaguzi kua huru na haki ili mkose kichaka cha kufichia aibu itakayowapata.
Siyo suala la kuahidi, uchaguzi unapaswa kuwa wa huru na haki. Maana hii siyo hisani ya Rais hadi mpaka aahidi.
 
Back
Top Bottom