Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii imekaa vizuri sana sana
 

Good warning...

Chini ya hawa mabwana, lolote laweza kutokea...
 
Tunataka tuone social distance [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na mask chadema bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…