Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
DahMkuu katika vitu Magufuli amefanikiwa ndani ya hii miaka mitano, ni kutengeneza wanafiki, waoga na wajinga wengi. Na yote haya ni kwasababu anajenga reli na bwawa la umeme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahMkuu katika vitu Magufuli amefanikiwa ndani ya hii miaka mitano, ni kutengeneza wanafiki, waoga na wajinga wengi. Na yote haya ni kwasababu anajenga reli na bwawa la umeme.
Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Umesikika mkuu , hata hivyo kabla ya kuzichukua tutakagua karatasi moja baada ya ingine ili kujiridhisha , hatutabebeshwa furushi tu bila kulikaguaMUWE MAKINI NA NEC!
Hakikisha mnakuwa makini katika kuchukua fomu. Wanaweza kuwawekea fomu ambazo zina dosari, specifically printed for you!
TAKE CARE! Salary Slip Mwanahabari Huru Chakaza
Rais wa Mioyo. mamaa.. wewe ulikuwa na Lowasa 2015 na ukatumia musemo huu huu.. na sasa tena? Badili kidogo basi.. maana rais wa moyo alikuwa EL.Leo ndio ile siku Rais wa Mioyo ya Watanzania Mhe. Tundu Antipas Lissu atachukuwa form ya Kugombea Urais Wa Tanzania Hapa Dodoma
Updates
-------
Naona TBCCM na Channel ten tayari wako na UvCcm yao. Yaani Tbc wana vitu vya ajabu sana. Jana walikuwa full cover kwa wabeba mbeleko za Ccm wakati NCCR wakifanya kikao chao cha ndani.. Leo tukio la Chadema msiwategemee maana sio walipa kodi wa nchi hii.Leo ndio ile siku Rais wa Mioyo ya Watanzania Mhe. Tundu Antipas Lissu atachukuwa form ya Kugombea Urais Wa Tanzania Hapa Dodoma
Updates
-------
[emoji1787][emoji1787]Hii Lowassa ni ukoo, binti wa yule mzee au mchepuko?
Maana sijajua kwa nini nikiona hili jina namkumbuka sana Mwenyekiti wenu wa ccm Geita bwana Msukuma kisha nasikia kichefuchefu napoteza hamu ya kula!
Hapana, TBC1 itaboreshwa ila watangazaji hawa wasasa tutawachunguza kwa kutoheshimu maadili ya kazi zao na hatua kuchukuliwaNaona TBCCM na Channel ten tayari wako na UvCcm yao. Yaani Tbc wana vitu vya ajabu sana. Jana walikuwa full cover kwa wabeba mbeleko za Ccm wakati NCCR wakifanya kikao chao cha ndani.. Leo tukio la Chadema msiwategemee maana sio walipa kodi wa nchi hii.
Nafikiri baada ya uchaguzi itungwe sheria Tbc isiwe ina pewa ruzuku za serikali. Ipewe ruzuku na Ccm
Nafikri ni ule mchepko wa Lowassa uliotinga kwa Makonda ukiwa umevaa manguo ya kijani kulalamika kuwa umezalishwa na Lowassa na kutelekezwa.Hii Lowassa ni ukoo, binti wa yule mzee au mchepuko?
Maana sijajua kwa nini nikiona hili jina namkumbuka sana Mwenyekiti wenu wa ccm Geita bwana Msukuma kisha nasikia kichefuchefu napoteza hamu ya kula!
BadiriRais wa Mioyo. mamaa.. wewe ulikuwa na Lowasa 2015 na ukatumia musemo huu huu.. na sasa tena? Badili kidogo basi.. maana rais wa moyo alikuwa EL.