Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5

Utakuta hapo ulipo una kiroba cha gongo sehemu unakunywa unaona watu wote wanabubujikwa na machozi,😁😁😁
 
  • Thanks
Reactions: nao
Leo ndio ile siku Rais wa Mioyo ya Watanzania Mhe. Tundu Antipas Lissu atachukuwa form ya Kugombea Urais Wa Tanzania Hapa Dodoma

Tundu Lissu akirejea Dodoma tangu jaribio la mauaji dhidi yake.

#NaneNaneYaHaki

Haki ya wagombea kupewa fomu

Haki ya wagombea kuteuliwa

Haki ya wagombea kutangazwa

Updates
-------
 
MUWE MAKINI NA NEC!

Hakikisha mnakuwa makini katika kuchukua fomu. Wanaweza kuwawekea fomu ambazo zina dosari, specifically printed for you!
TAKE CARE! Salary Slip Mwanahabari Huru Chakaza
Umesikika mkuu , hata hivyo kabla ya kuzichukua tutakagua karatasi moja baada ya ingine ili kujiridhisha , hatutabebeshwa furushi tu bila kulikagua
 
Leo ndio ile siku Rais wa Mioyo ya Watanzania Mhe. Tundu Antipas Lissu atachukuwa form ya Kugombea Urais Wa Tanzania Hapa Dodoma

Updates
-------
Rais wa Mioyo. mamaa.. wewe ulikuwa na Lowasa 2015 na ukatumia musemo huu huu.. na sasa tena? Badili kidogo basi.. maana rais wa moyo alikuwa EL.
 
Leo ndio ile siku Rais wa Mioyo ya Watanzania Mhe. Tundu Antipas Lissu atachukuwa form ya Kugombea Urais Wa Tanzania Hapa Dodoma

Updates
-------
Naona TBCCM na Channel ten tayari wako na UvCcm yao. Yaani Tbc wana vitu vya ajabu sana. Jana walikuwa full cover kwa wabeba mbeleko za Ccm wakati NCCR wakifanya kikao chao cha ndani.. Leo tukio la Chadema msiwategemee maana sio walipa kodi wa nchi hii.
Nafikiri baada ya uchaguzi itungwe sheria Tbc isiwe ina pewa ruzuku za serikali. Ipewe ruzuku na Ccm
 
Hii Lowassa ni ukoo, binti wa yule mzee au mchepuko?
Maana sijajua kwa nini nikiona hili jina namkumbuka sana Mwenyekiti wenu wa ccm Geita bwana Msukuma kisha nasikia kichefuchefu napoteza hamu ya kula!
[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa nini tume wamebadilisha utaratibu wa kulipia bank? Malipo ya serikali yanalipwa kwa mfumo wa kieletronic.. CHADEMA ombeni mkalipie bank achaneni na malipo ya cash
 
Naona TBCCM na Channel ten tayari wako na UvCcm yao. Yaani Tbc wana vitu vya ajabu sana. Jana walikuwa full cover kwa wabeba mbeleko za Ccm wakati NCCR wakifanya kikao chao cha ndani.. Leo tukio la Chadema msiwategemee maana sio walipa kodi wa nchi hii.
Nafikiri baada ya uchaguzi itungwe sheria Tbc isiwe ina pewa ruzuku za serikali. Ipewe ruzuku na Ccm
Hapana, TBC1 itaboreshwa ila watangazaji hawa wasasa tutawachunguza kwa kutoheshimu maadili ya kazi zao na hatua kuchukuliwa
 
Hii Lowassa ni ukoo, binti wa yule mzee au mchepuko?
Maana sijajua kwa nini nikiona hili jina namkumbuka sana Mwenyekiti wenu wa ccm Geita bwana Msukuma kisha nasikia kichefuchefu napoteza hamu ya kula!
Nafikri ni ule mchepko wa Lowassa uliotinga kwa Makonda ukiwa umevaa manguo ya kijani kulalamika kuwa umezalishwa na Lowassa na kutelekezwa.
 
Back
Top Bottom