Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Lisu anakuja kuwa vua vyupi nyeti zenu kubaki wazi kaeni kwa kutulia
 
Hanaga akili huyo, watu wanamuonaga zwazwa. Hajui hata kuwa bilioni 1 ni 1/7 ya population ya Dunia.
India na china zinaongoza kwa idadi ya watu duniani, demographic yao inaelekeana wana watu takribani 1.32b, sasa kwa mfano huo anataka atuambie lisu anafuatiliwa na taifa lote la china au india, sina maana kwamba wote hao wapo sehemu moja, kwa kitu gani alichonacho lisu au kwa ushawishi gani na ataifanyia nini dunia mbali na Tanzania hadi afuatiliwe na watu wote hao..

Tunajua katika watu zaidi ya 1b kuna makundi mbalimbali ambayo yamegawanyika katika matajiri,matajiri wa Kati na masikini..

Niambie masikini gani wa India, Kenya, uganda, S.A, US nk abaki anamfuatilia lisu kwa kipi hasa wakati wameshindwa kuwafikia masikini wa Tanzania waliopo vijijini, angalau tunaweza sema matajiri hasa wakubwa (wawekezaji) tunaweza sema wanafuatilia lakini ukumbuke katika watu 100000 mwekezaji ni mmoja, sasa fanya hesabu watu wako 1b ugawanye kwa 1k ndio utajua kuna matajiri wangapi katika 1b na hao wote hawaitazami Tanzania kwasababu sio Tanzania pekee yake inafanya uchaguzi mwaka huu..

So Erythrocyte acha kukurupuka mzee, hizo ni ndoto..

Dunia sasa inawatu zaidi ya 7.5b hala unataka utuletee sifa za kijinga kwamba lisu na chama chake wanaushawishi hadi wa kuvuta watu 1b wakati wote akiwa mbunge/kabla huko singida walishindwa na wameshindwa kuwashawishi wananchi wake wakajiandikishe kupiga kura.

#achautopolo
 
Je, hiyo inamuongezea sifa ya kuwa mgombea Rais wa Tanzania? Tujikite kwenye sifa za muhimu za msingi na mahitaji ya kusaidia Nchi yetu, siyo Dunia. Kila Nchi ina Rais wake na mahijaji yake.
 
Hapo vip!!

Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa...
Kwani Magufuli alikuwa na umati kiasi gani wa watu alipochukua form uchaguzi wa 2015? Tuanzie hapo
 
bado sijajua kama unalia au unalalamika .
 
bado sijajua kama unalia au unalalamika .
Uwe unatumia akili kufikiria kabla hujaandika thread badala ya kukimbilia kuongeza idadi za thread utadhani jf watatoa tuzo za anzishaji wa thread nyingi kwa muda mfupi...

Unapoteza time kuandika vitu visivyo fikirika.
 
Uwe unatumia akili kufikiria kabla hujaandika thread badala ya kukimbilia kuongeza idadi za thread utadhani jf watatoa tuzo za anzishaji wa thread nyingi kwa muda mfupi...

Unapoteza time kuandika vitu visivyo fikirika.
usikonde mkuu , baada ya CCM kung'olewa rasmi october 28 nitajiondoa jf ili mpate nafasi ya kupumua , mimi nitakuwa nalitumikia Taifa
 
Kitu ambacho hujajua mkuu ni kwamba inatengenezwa mitego ya kila namna ya kuvuta macho na masikio ya watu kwa makusudi.

Wanakiuka masharti makusudi ili wanyimwe form wapate Cha kusema kuwa wanabanwa na tume...

Kama ni hivyo kwa nini mnashindwa kuweka Tume huru na kubadilisha sheria ili anayekwenda kinyume yeyote ashitakiwe?
Ikiwa huku znz watu zaidi ya 50000 wamenyimwa vitambulisho hivi CCM ina nia njema na uchaguzi?
 
usikonde mkuu , baada ya CCM kung'olewa rasmi october 28 nitajiondoa jf ili mpate nafasi ya kupumua , mimi nitakuwa nalitumikia Taifa
Ndoto za mchana hizi unahisi unakunya chooni kumbe unakunya kwenye mafiga jikoni kwa bibi yako...

Inshort kimvuli chako kinakudanganya.
 
Tafadhali tupe ingawapo source moja ya kuaminika.
 
Hongera kwake. Najua ccm ya zamani ya akina January, Nape, Kinana na Kikwete itampa kura Tundu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…