Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
India na china zinaongoza kwa idadi ya watu duniani, demographic yao inaelekeana wana watu takribani 1.32b, sasa kwa mfano huo anataka atuambie lisu anafuatiliwa na taifa lote la china au india, sina maana kwamba wote hao wapo sehemu moja, kwa kitu gani alichonacho lisu au kwa ushawishi gani na ataifanyia nini dunia mbali na Tanzania hadi afuatiliwe na watu wote hao..Hanaga akili huyo, watu wanamuonaga zwazwa. Hajui hata kuwa bilioni 1 ni 1/7 ya population ya Dunia.
Je, hiyo inamuongezea sifa ya kuwa mgombea Rais wa Tanzania? Tujikite kwenye sifa za muhimu za msingi na mahitaji ya kusaidia Nchi yetu, siyo Dunia. Kila Nchi ina Rais wake na mahijaji yake.Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais...
Kwani Magufuli alikuwa na umati kiasi gani wa watu alipochukua form uchaguzi wa 2015? Tuanzie hapoHapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa...
bado sijajua kama unalia au unalalamika .India na china zinaongoza kwa idadi ya watu duniani, demographic yao inaelekeana wana watu takribani 1.32b, sasa kwa mfano huo anataka atuambie lisu anafuatiliwa na taifa lote la china au india, sina maana kwamba wote hao wapo sehemu moja, kwa kitu gani alichonacho lisu au kwa ushawishi gani na ataifanyia nini dunia mbali na Tanzania hadi afuatiliwe na watu wote hao...
Uwe unatumia akili kufikiria kabla hujaandika thread badala ya kukimbilia kuongeza idadi za thread utadhani jf watatoa tuzo za anzishaji wa thread nyingi kwa muda mfupi...bado sijajua kama unalia au unalalamika .
Pu*baf, kwa mama yako.We punguani huko duniani kote ndio wapi? Chato?
usikonde mkuu , baada ya CCM kung'olewa rasmi october 28 nitajiondoa jf ili mpate nafasi ya kupumua , mimi nitakuwa nalitumikia TaifaUwe unatumia akili kufikiria kabla hujaandika thread badala ya kukimbilia kuongeza idadi za thread utadhani jf watatoa tuzo za anzishaji wa thread nyingi kwa muda mfupi...
Unapoteza time kuandika vitu visivyo fikirika.
Lissu atoe wapi ajira?Kura yangu nakupa lisu ukiingia madarakani tangaza ajira utukomboe
Kitu ambacho hujajua mkuu ni kwamba inatengenezwa mitego ya kila namna ya kuvuta macho na masikio ya watu kwa makusudi.
Wanakiuka masharti makusudi ili wanyimwe form wapate Cha kusema kuwa wanabanwa na tume...
Labda aibe kura au apigiwe kura mara 50 na majeshi na mapolisiUnamuongelea jamaa yupi ?
Kama ni Magufuli tunasubiri aapishwe tu kuwa rais
Ndoto za mchana hizi unahisi unakunya chooni kumbe unakunya kwenye mafiga jikoni kwa bibi yako...usikonde mkuu , baada ya CCM kung'olewa rasmi october 28 nitajiondoa jf ili mpate nafasi ya kupumua , mimi nitakuwa nalitumikia Taifa
Kweli, ni vile hawapigi kura tu. Wanaopiga ni wanachama milioni 5+ wa CCM na wengine wasio na vyama ambao wanahitaji kuhamasishwa wakapige kura.Inawezekana kabisa tena iyo idadi itaongezeka
Bora umuulizeWe jamaa muongo balaa, unajua watu bilioni moja wewe?
Raisi wa wapiga dili , wanataka kuuza nchi hawa.Rais wa Wahuni na wabwia unga