Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Ndoto za mchana hizi unahisi unakunya chooni kumbe unakunya kwenye mafiga jikoni kwa bibi yako...

Inshort kimvuli chako kinakudanganya.
angalia hii
 

Attachments

  • Instagram media - CDpIknKBW3R ( 420 X 750 ).mp4
    3.9 MB
Mungu amlinde Tundu Lissu maana hata Sasa hamna hata mtu mmoja aliyekamatwa kwa shambulio la Tundu Lissu
Hivi juzi ndugai alikuwa na maana gani aliposema kuna wale wapiga kelele sisi tayari tumeshamaliza kazi bungeni, atawekewa pingamizi kwa ile hoja ya tume ya maadili nini??
 
Haya
 
Hapo vip!!

Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa...
Tuliza kidonda ili dawa iwangieni vizuri dadeeeki
 
Erythrocyte,

Hawa ndugu zetu wa mtaa wa Lumumba wanasahau kuwa siasa ni suala mtambuka linahusu maisha.

Sasa Diamond Platnumz akiwa ana uwezo wa kupata 1bn za digital footprint kwa suala la muziki, wanashangaa nini kuhusu TAL anayegusa matamanio ya watu wa dunia ya tatu pia hata wale wanaoitwa mabeberu wa nchi za Ulaya na Marekani ya Kaskazini na wakumbuke kuna mwanaCCM alisema huu siyo uchaguzi wa Tanzania bali unahusu Afrika nzima bofya link : Uchaguzi 2020 - Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji - maana yake dunia pia inaitazama Tanzania kwa kuwa dunia ni kijiji sasa.
 
Hawa wanaolipwa elfu 7 kwa wiki hawanitishi
 
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye

Lugha au Kibri 😂😂😂
 
Watu billion moja ni wengi sana bila link kama ni ya youtube au Jamiiforuns Live au source yoyote itabaki kuwa blah blah za mtandaoni!
 

Nimekuja nishuhudie uongo uliokubuhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…