Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Ila tulikuwa tunajua ajira kwa wadogo zetu zilitolewa, mil 50 kila Kijiji zilitolewa, mishahara na madaraja kwa wafanyakazi viliongezeka, wakulima wakorosho walisaidiwa vyema na serekali, vyombo vya habari vimekuwa huru Sana awamu hii, ata watekaji wauaji awamu hii imepambana nao Sana. JPM BABA LAO
 
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye
Leta chanzo hapa sio sehemu ya udaku. Kumbuka hii haitasaidia October 28
 
Cyprian Musiba na Le mutuz wakiona hii roho zinawauma mpaka wanatamani kunywa sumu wafe
 
Tarehe 8/8, Ndugu Antipas Lisu Mghway aliandika historia katika maisha yake kwa tukio la kuchukua fomu ya kugombea urais wa JMT katika ofisi za Tume ya uchaguzi katika makao makuu yake pale Dodoma.

Baada ya zoezi la uchukuaji fomu kukamilika, ndg. Lisu alipata wasaa wa kuzungumza na wanachama wa CDM na wakazi wa Dodoma kwa ujumla.

Katika hotuba yake, ndg Lisu aliitoa kwa utulivu sana huku akiwa anatabasamu.
Jambo hili lilinitia moyo sana tofauti na siku zingine ambapo huongea kwa JAZBA na kejeli nyingi japo siku zote huongea ukweli mtupu.

Kwa kifupi ikiwa ataendelea kuongea kwa UTULIVU wana namna hii huku akiendelea kuchambua na kupangua hoja za awamu ya 5 na akaongezea na SERA nzito ...kuwa nini atalitendea taifa...nani atamnyima kura?

 
Asante sana chuma cha mjerumani
 
Mkuu, nasubiri baada ya tarehe 28 october.
 
Marehemu Ruge alisema ogopa Mungu na technology...tena ni billion na kadhaa
Mitambo ya Internet ililemewa. Walipochunguza wakaona ni hiyo habari ndiyo iliyo mitamboni ndiyo sababu!!!
 
Mungu atawaduwaza wachakachuaji wezi wa kura wa CCM watasahaui kuiba kura, ya Malawi Congo zambia Ghana kenya Gambia yanaenda kutokea Tanzania
 
Jione mwenyewe kwenye video hapo juu
 
Nimefurahi kwa jinsi alivyotaja jambo la kipekee alilofanya Magufuli tofauti na marais wote
 
Rudia tena hoja zako hazina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…