Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Ila tulikuwa tunajua ajira kwa wadogo zetu zilitolewa, mil 50 kila Kijiji zilitolewa, mishahara na madaraja kwa wafanyakazi viliongezeka, wakulima wakorosho walisaidiwa vyema na serekali, vyombo vya habari vimekuwa huru Sana awamu hii, ata watekaji wauaji awamu hii imepambana nao Sana. JPM BABA LAO
 
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye
Leta chanzo hapa sio sehemu ya udaku. Kumbuka hii haitasaidia October 28
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Cyprian Musiba na Le mutuz wakiona hii roho zinawauma mpaka wanatamani kunywa sumu wafe
 
Tarehe 8/8, Ndugu Antipas Lisu Mghway aliandika historia katika maisha yake kwa tukio la kuchukua fomu ya kugombea urais wa JMT katika ofisi za Tume ya uchaguzi katika makao makuu yake pale Dodoma.

Baada ya zoezi la uchukuaji fomu kukamilika, ndg. Lisu alipata wasaa wa kuzungumza na wanachama wa CDM na wakazi wa Dodoma kwa ujumla.

Katika hotuba yake, ndg Lisu aliitoa kwa utulivu sana huku akiwa anatabasamu.
Jambo hili lilinitia moyo sana tofauti na siku zingine ambapo huongea kwa JAZBA na kejeli nyingi japo siku zote huongea ukweli mtupu.

Kwa kifupi ikiwa ataendelea kuongea kwa UTULIVU wana namna hii huku akiendelea kuchambua na kupangua hoja za awamu ya 5 na akaongezea na SERA nzito ...kuwa nini atalitendea taifa...nani atamnyima kura?

 
ila tulikuwa tunajua ajira kwa wadogo zetu zilitolewa, mil 50 kila Kijiji zilitolewa, mishahara na madaraja kwa wafanyakazi viliongezeka, wakulima wakorosho walisaidiwa vyema na serekali, vyombo vya habari vimekuwa huru Sana awamu hii, ata watekaji wauaji awamu hii imepambana nao Sana. JPM BABA LAO
Asante sana chuma cha mjerumani
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Mkuu, nasubiri baada ya tarehe 28 october.
 
Marehemu Ruge alisema ogopa Mungu na technology...tena ni billion na kadhaa
Mitambo ya Internet ililemewa. Walipochunguza wakaona ni hiyo habari ndiyo iliyo mitamboni ndiyo sababu!!!
 
Mazingira ya kupiga, kuhesabu na kutangaza kura hasa za urais yapo vilevile na probably yameharibika zaidi ya mwaka 2015. Hizo “views” kama ni kweli zisiwapumbaze na mkaanza kujitangazia ushindi.

As long as kura za uraisi zinatumwa kwa NEC na wao wanazichakata, tutakutana hapa early November na story tofauti kabisa. Simuoni Jiwe na maafisa wake wa TISS ndani ya koti la NEC wakiachia kile kiti kindezi

Kama anaweza, Lissu na team yake wanapaswa kuanza kuweka mikakati ya kuhakikisha kura atakazopata kwenye kila kituo cha kupigia kura zinatangazwa kama zilivyo. Muda wa kulialia jukwaani kwamba alipigwa risasi umeshapita. Ni kazi tu na mikakati sasa
Mungu atawaduwaza wachakachuaji wezi wa kura wa CCM watasahaui kuiba kura, ya Malawi Congo zambia Ghana kenya Gambia yanaenda kutokea Tanzania
 
Jione mwenyewe kwenye video hapo juu
 
Nimefurahi kwa jinsi alivyotaja jambo la kipekee alilofanya Magufuli tofauti na marais wote
 
Lissu ni sauti kwa walio fungwa midomo, Lissu ni nuru kwa walio gizani, Lissu ni masikio kwa walio viziwi na lissu ni sauti kwa wasio na masikio.

Hatukujua kuwa kumbe hata mtera, bwawa la nyumba ya Mungu ni miradi iliyo jengwa na serikali,hatukujua kuwa hata ndege kumbe zilisha nunuliwa na serikali, kumbe hata meli na vivuko vilikuwepo tuuu[emoji23][emoji23][emoji23].

Mwenyezi Mungu tunazidi kukuomba umzidishie huyu kiumbe wako uliye mleta hapa duniani kututoa gizani. View attachment 1531832
Rudia tena hoja zako hazina mashiko
 
Back
Top Bottom