chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Ila tulikuwa tunajua ajira kwa wadogo zetu zilitolewa, mil 50 kila Kijiji zilitolewa, mishahara na madaraja kwa wafanyakazi viliongezeka, wakulima wakorosho walisaidiwa vyema na serekali, vyombo vya habari vimekuwa huru Sana awamu hii, ata watekaji wauaji awamu hii imepambana nao Sana. JPM BABA LAO