Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Hakuna kitu

Si ndo mliwaalika watunwaende kwa wingi kumsindikiza lissu hao ndo waliojitokeza bakini tu humu mitandaoni kujiaminisha mnakubalika ilakule nje kweupe sana

Tunamuelewa JPM na tutaendelea kuwa nae tena
Ha ha umati uliouona leo umekutia wazimu msafara urefu wake umekutia uchizi poleni mwambbie chato boy mwaka huu sio push up atakula vumbi
 
Ndio sera ya uchaguzi hiyo itakayo mtoa Magufuli madarakani kwa kupambana na media.

Wiki iliyoisha ilikuwa ITV leo ni Azam na Ayo Tv, nawatakua uchaguzi mwema.

Watu wakisema ni chama cha kutafuta sympathy sio wanazusha ndio ukweli wenyewe.
Sisi huku Zanzibar tulishayazowa hayo ,kwani huzimiwa umeme tukatafutana. CCM ndio sera zao hizo
 
Kwa ivyo somo mnalijua wananchi awataki kusikia mambo ya kuzimiwa umeme sijui sauti.
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.

Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu, ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema, na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi.

Pia ni wazi sasa watanzania wamejidhibitishia yakwamba chadema ni SACCOS na sio chama cha siasa.

Ule umati uliompokea Lissu kipindi kile akirejea nchi, haimaanisha wamempokea kwa lengo la kuumunga mkona katika harakati ya kugombea urais.. ule umati ulikuwa na watu wengi waliotaka kumuona tu Lissu kama kweli yupo hai au yalikuwa ni mambo ya siasa, pili kuna watu walienda kumpokea kwasababu ya haruma tu.. baada ya kunusurika kifo, jambo ambalo ni zuri ila watu hawa haimaanisha ndio waponyumba ya Lissu katika harakati yake ya kugombea Urais.
Penye ukweli uongo hujitenga

Kwa ivyo somo mnalijua wananchi awataki kusikia mambo ya kuzimiwa umeme sijui sauti.

Si wote wanaelewa sera hizi za CCM ndio wamezileta huku bara , wanaona zitawasaidia kunyamazisha upinzani, kumbe ndio wanazidi
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.

Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu, ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema, na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi.

Pia ni wazi sasa watanzania wamejidhibitishia yakwamba chadema ni SACCOS na sio chama cha siasa.

Ule umati uliompokea Lissu kipindi kile akirejea nchi, haimaanisha wamempokea kwa lengo la kuumunga mkona katika harakati ya kugombea urais.. ule umati ulikuwa na watu wengi waliotaka kumuona tu Lissu kama kweli yupo hai au yalikuwa ni mambo ya siasa, pili kuna watu walienda kumpokea kwasababu ya haruma tu.. baada ya kunusurika kifo, jambo ambalo ni zuri ila watu hawa haimaanisha ndio waponyumba ya Lissu katika harakati yake ya kugombea Urais.
Mnatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.

Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu, ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema, na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi.

Pia ni wazi sasa watanzania wamejidhibitishia yakwamba chadema ni SACCOS na sio chama cha siasa.

Ule umati uliompokea Lissu kipindi kile akirejea nchi, haimaanisha wamempokea kwa lengo la kuumunga mkona katika harakati ya kugombea urais.. ule umati ulikuwa na watu wengi waliotaka kumuona tu Lissu kama kweli yupo hai au yalikuwa ni mambo ya siasa, pili kuna watu walienda kumpokea kwasababu ya haruma tu.. baada ya kunusurika kifo, jambo ambalo ni zuri ila watu hawa haimaanisha ndio waponyumba ya Lissu katika harakati yake ya kugombea Urais.
Sasa wewe gamba inakuhusu nini? Tazama followers wa Lissu na Jiwe ndiyo utakapo zimia kabisa hapo lumumba
 
Hela za misafara hawana wahurumie tu
Walio mtazama au kumfuatilia mh Lissu leo kwenye vyombi mbali mbali wamewastua sana maccm ukimlinganisha na jiwe ambaye alipata watazamaji idadi ya namba za viatu
 
Awajaenda ata na Mnyika wangenyimwa form sijui wangesemaje ndio wajue hakuna mtu mwenye shida ya kuwazuia haki yao demokrasia.

Vyama vingine vyote vimetii utaratibu uliowekwa wa kwenda na makatibu wao wa vyama isipokuwa CDM tu, hawa watu inabidi wabadilike wafuate vitabu kama wengine na kuacha kujiona wao ni special breed.

Lingetokea la kutokea huko wangeanza kulalama.
Kitu ambacho hujajua mkuu ni kwamba inatengenezwa mitego ya kila namna ya kuvuta macho na masikio ya watu kwa makusudi.

Wanakiuka masharti makusudi ili wanyimwe form wapate Cha kusema kuwa wanabanwa na tume.

Bado tuendelee tutashuhudia matukio mengi tu ya kuvunja sheria kwa makusudi kabisa ili wakamatwe, siku zote huwa nasema vyombo vya ulinzi na usalama viwapuuze tu kwa huu uhuni wasikubali kuingia kwenye mtego.
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
 
Capture.JPG
 
Back
Top Bottom